Nitaoa mwanamke mshamba

Nitaoa mwanamke mshamba

Se Busca

Member
Joined
Dec 11, 2023
Posts
88
Reaction score
306
Wazee wa kazi Hamjambo?

Mimi kama mimi nitaoa mwanamke mshamba wazee wangu, wanawake wajanja nawaachia nyinyi aisee

Unaoa mwanamke anajua kilakitu instagram anajua yeye page zote za umbea amezifollow tamthilia za azam anangalia zote kuanzia saa 10 mpaka saa 6 za usiku, youtube anajua mpaka kuweka 1080 high quality huyu hapana nawaachia nyinyi wakulingwa

Mie naenda kuoa mtoto mdogo mdogo namtoa shamba huko huyu nakuwa na uhakika nae hana hata body count 5 sio hii mikulumbembe ya mjini ina body count 200 kidogo nyuchi yote haina hata radha hii hapana kwa kweli, unaoa mwanamke analamba lolo kama mashine, style zote anazijua mpaka unabaki kushangaa hapana kwa kweli acha nikatafute bikra mimi.
 
1. Usio mwanamke unaempenda 100%
2. owa mwanamke ambae haumpendi.
3.Usio mwanamke mzuri sana, owa mwanamke wa kawaida.
4. Usioe mwanamke aliekuzisi kipato/ Elimu.
5. Usioe mwanamke ambae anajiona kua yeye ni mzuri sana na kuolewa na wewe kama amekuhurumia
6.Mwanamke kua nae makini chochote kinaweza Tokea mda wowote Wanawake Akili zao Wanazijua wenyewe, Hivi Viumbe ni hatari sana ktk huu ulimwengu zaidi ya unavyofikiria wewe.
 
Wazee wa kazi Hamjambo?

Mimi kama mimi nitaoa mwanamke mshamba wazee wangu, wanawake wajanja nawaachia nyinyi aisee

Unaoa mwanamke anajua kilakitu instagram anajua yeye page zote za umbea amezifollow tamthilia za azam anangalia zote kuanzia saa 10 mpaka saa 6 za usiku, youtube anajua mpaka kuweka 1080 high quality huyu hapana nawaachia nyinyi wakulingwa

Mie naenda kuoa mtoto mdogo mdogo namtoa shamba huko huyu nakuwa na uhakika nae hana hata body count 5 sio hii mikulumbembe ya mjini ina body count 200 kidogo nyuchi yote haina hata radha hii hapana kwa kweli, unaoa mwanamke analamba lolo kama mashine, style zote anazijua mpaka unabaki kushangaa hapana kwa kweli acha nikatafute bikra mimi.
Subiri atoke huo ushamba akiwa tayari kwenye ndoa.. Utajua hujui.. Mifano hai tunayo.. Kwa maisha haya oa muelewa inatosha kabisa.. Ama oa aliyekwisha maliza
 
Nakuunga mkono na kila la kheri.

Usisahau kutumia mfumo dude kwenye ndoa yako utakuja kunishukuru, achana na huu uzungu tunao ambiwa kila siku utakuharibia ndoa yako.
 
Wazee wa kazi Hamjambo?

Mimi kama mimi nitaoa mwanamke mshamba wazee wangu, wanawake wajanja nawaachia nyinyi aisee

Unaoa mwanamke anajua kilakitu instagram anajua yeye page zote za umbea amezifollow tamthilia za azam anangalia zote kuanzia saa 10 mpaka saa 6 za usiku, youtube anajua mpaka kuweka 1080 high quality huyu hapana nawaachia nyinyi wakulingwa

Mie naenda kuoa mtoto mdogo mdogo namtoa shamba huko huyu nakuwa na uhakika nae hana hata body count 5 sio hii mikulumbembe ya mjini ina body count 200 kidogo nyuchi yote haina hata radha hii hapana kwa kweli, unaoa mwanamke analamba lolo kama mashine, style zote anazijua mpaka unabaki kushangaa hapana kwa kweli acha nikatafute bikra mimi.
Hautakuja usahau! Hao hao washamba si ndio tunawala huku mjini baada ya kutoa tongotongo za kijijini? Hata bro wangu alisema hivyo hivyo akaenda akachukua kashamba ka Nyakabindi, weee kalivyoujua mji kwani alichukua round? Yatakukuta ya kukukuta!😁😁😂😂
 
Hautakuja usahau! Hao hao mashamba si ndio tunawala huku mjini baada ya kutoa tongotongo za kijijini? Hata bro wangu alisema hivyo hivyo akaenda akachukua kashamba ka Nyakabindi, weee kalivyoujua mji kwani alichukua round? Yatakukuta ya kukukuta!😁😁😂😂
Tatizo body count
 
Subiri atoke huo ushamba akiwa tayari kwenye ndoa.. Utajua hujui.. Mifano hai tunayo.. Kwa maisha haya oa muelewa inatosha kabisa.. Ama oa aliyekwisha maliza
Mkubwa tatizo body count unaoa vipi mwanamke anaeijua kila aina ya uume wa mwanaume mwanamke kachapwa na wanaume hata 70
 
Wazee wa kazi Hamjambo?

Mimi kama mimi nitaoa mwanamke mshamba wazee wangu, wanawake wajanja nawaachia nyinyi aisee

Unaoa mwanamke anajua kilakitu instagram anajua yeye page zote za umbea amezifollow tamthilia za azam anangalia zote kuanzia saa 10 mpaka saa 6 za usiku, youtube anajua mpaka kuweka 1080 high quality huyu hapana nawaachia nyinyi wakulingwa

Mie naenda kuoa mtoto mdogo mdogo namtoa shamba huko huyu nakuwa na uhakika nae hana hata body count 5 sio hii mikulumbembe ya mjini ina body count 200 kidogo nyuchi yote haina hata radha hii hapana kwa kweli, unaoa mwanamke analamba lolo kama mashine, style zote anazijua mpaka unabaki kushangaa hapana kwa kweli acha nikatafute bikra mimi.professor Jay kwenye wimbo wake wa 'Nikusaidieje'
Kasikilize wimbo unaoitwa 'Nikusaidieje' wa professor Jay.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom