Nitaoa kweli?

Utaoa tu ila kuwa makini usije ukawa too desperate ukaparamia, age si kitu ni wewe tu na unavyojicarry
 
Nichukue mimi. . .
Umri 35. . .
Watoto watatu. .
Sina mcumba wala mume!!!

dada yangu
mabinti wa nyumbani hamko hivyo hata nukta moja
umesahau dini inawafanya mnakuwa tofauti na mabinti wengine hapa Mujini
some time i am proud of u my sis....
 
wa kupiga hao kibao tu.......... huwa nashawishika kupata mtoto kwao lakini issue inakuja kwenye ujasiri wa KUPIGA KAVUKAVU..tehe!tehe
 
ha!ha!haaaaaaa......... wakati fulani nahisi kuwa na enjoy zaidi kwa kupiga mavyomboz, but sometimes napigwa maswali kibao kutoka kwa ndugu na jamaa kwamba kwa kutokuwa na mke heshima yangu eti inashuka
 
Loving for doing 100%
Loving for marriage.
Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !
 
He!?????????????????????????????????????????????????????????????????????? :yuck:
 
Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I think I need some one in my life. Will some one be interested to rescue me? please communicate with me

Utaoa tu usijali,kila jambo na wakati.
 
Kama unataka kufa mapema OA ila kama unataka kuishi maisha marefu achana na hayo mawazo potofu , heshima inakuja tu tafuta mkwanja uone kama hujaheshimiwa hadi na wazee..........kwani kulea huwezi lazima uwe na mke?
 
ha!ha!haaaaaaa......... wakati fulani nahisi kuwa na enjoy zaidi kwa kupiga mavyomboz, but sometimes napigwa maswali kibao kutoka kwa ndugu na jamaa kwamba kwa kutokuwa na mke heshima yangu eti inashuka

heshima inashuka? Labda uwe huna mawe. Mwenye mke na mwenye mawe nani anaheshimika zaid? Shtuka wewe!
 
Kama unataka kufa mapema OA ila kama unataka kuishi maisha marefu achana na hayo mawazo potofu , heshima inakuja tu tafuta mkwanja uone kama hujaheshimiwa hadi na wazee..........kwani kulea huwezi lazima uwe na mke?
K'mbute umenena true, labda hajui kama Panya alikuwa mkubwa kuliko Tembo kabla hajaoa, dhoruba za ndoa ndiyo zimemfanya awe na kamwili kadogo.
 
Back
Top Bottom