Nitaoa kweli?

Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I think I need some one in my life. Will some one be interested to rescue me? please communicate with me

walio-oa wanakutamani sana. Maana ndoa zilivyo vimeo, usipime. Tena kama ni mkristo ndio kuwa makini sana, maana ndoa zetu ni kama reli, hazina U-turn ni mpaka kifo kitenganishe.
 
njoo hapa chuo kuna wasomi hawana waume wala wachumba,wao ni kujichubia na minywele ya katani.karibu
 
Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I think I need some one in my life. Will some one be interested to rescue me? please communicate with me

Is there interest in pursuading you to marry?
 
Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I think I need some one in my life. Will some one be interested to rescue me? please communicate with me

Pole sana Bw.Msafiri but then kama upo serious there is always a way!Lakini kabla ya yote ni muhimu ukajibu swali hili- Why should you marry or rather what is the importance of marriage?Sababu ya wewe kuoa ni msingi wa wewe kuiona ndoa ktk mwanga ulio bora!!!
 
Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I think I need some one in my life. Will some one be interested to rescue me? please communicate with me

Ukishindwa kuoa, fanya kinyume chake.
 
Back
Top Bottom