Mkuu, ebu angalia vigezo nilivyo tumia kufikia hitimisho la uchambuzi wangu. Kisha nawe naomba unipe vigezo ulivyo tumia kuhitimisha kuhusu distance
Sikuwahi kuyachukulia mapenzi serious so far, ndo maana hata niliyenaye sasa sijui kama ni rafiki, mke, mchuma ama nampenda tu...kikubwa nilicho experience kwa miaka yangu michache niliyoishi duniani kabla ya kifo cha penzi kunifika ni kwamba kuna kupenda na kupendwa ila ni wachache sana wanaokutana wakiwa wanapendana!Kijana, sisi wengine tulisha pitia makubwa zaidi ya hili unalo lipitia wewe.
Na hata kufikia hapa, tumeshakuwa wabobezi kwenye hii kada yau ndundu....
By the way, naomba nikupe pole kwa changamoto unayo ipitia, na ebu hili lichukulie kama tuisheni katika safari yako changa ambayo ndio kwanza umeianza
Sijui nimebakiwa na dhahania tu LABDA kapata mwingineMkuu, ebu angalia vigezo nilivyo tumia kufikia hitimisho la uchambuzi wangu. Kisha nawe naomba unipe vigezo ulivyo tumia kuhitimisha kuhusu distance
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni mwekezaji na mara nyingi wawekezaji huwekeza pale anapoona security ya mtaji wake ipo, yumkini alishanusa harufu kwamba utakuja kumtolea mbavuni ndio maana akaamua kukubwaga kabla!
Ebitoke aliokota mtoto baru baru wa mjini kwa jina la Yusuf akawekeza moyo,mwili na mali akidhani Yusuf huyu ni ukoo wa yule Yusuf babake Yesu wa kufikia but look kumbe huyu ni Yusuf Mlela bhana, kammega kisela kisha kamfyekelea mbali na maisha yanaendelea
Nipo na zawadi zake hapa tulikuwa tunatoana1. Mwanaume akipata K mpya na nzuri huwa hakumbuki maumivu ya zamani, niwachache sna.
2. Mwanamke anaepanua mapaja kwa hiali mapema bila usumbufu, jua mahusiano anayajua vzur na pia anajua utamu ya mashine.
3. Mwanamke kutoa pesa yake kukupa ni wazi kuwa unamfanyia mambo mazuri, Lakini inapaswa kukumbuka pia mwanamke pia anapenda kupokea na kuona akioneshwa kua yeye anajaliwa zaidi.
Just why hata aliamua kwenda kuhudumiwa vyote na njemba nyingine.
Huyo ni mwekezaji na mara nyingi wawekezaji huwekeza pale anapoona security ya mtaji wake ipo, yumkini alishanusa harufu kwamba utakuja kumtolea mbavuni ndio maana akaamua kukubwaga kabla!
Ebitoke aliokota mtoto baru baru wa mjini kwa jina la Yusuf akawekeza moyo,mwili na mali akidhani Yusuf huyu ni ukoo wa yule Yusuf babake Yesu wa kufikia but look kumbe huyu ni Yusuf Mlela bhana, kammega kisela kisha kamfyekelea mbali na maisha yanaendelea
Bora aseme ukweli maana mazuri nilyopanga kumfanyia Allah anajuaMimi naomba niulize swali
Hivi ni bora
1. mtu aendelee kufake kuwa anakupenda huku hisia zake juu yako zimebadilika, yaani hakupendi kama mwanzo kakutana na anayempenda kipindi
2. mtu aseme ukweli wake mapema ili kila mmoja aendelee mbele ( na kila siku tunausiana ukweli himwekq mtu huru)
Ni kwa nini tukiachwa tu naona ni mwisho wa dunia??
Kwani nimekosea mkuuMkuu, Mungu anakuona wallah...teh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Alinikuta sina kazi nipo nipo tu nikamtongoza akanikubalia akaniambia ananipenda hivyo hivyo,mapenzi yakaanza akaenda chuo akanipatia kiasi cha pesa kutoka kwenye boom lake.
Nikamwambia poa nipe miezi sita faida itaanza kuonekana kweli bhana Allah akajalia mambo yakaanza kuwa mazuri nikazidi kumpenda nikampa moyo wote nikampa heshima ya kumuona huyu ndio mwanamke aliyeamua kuijenga empire yake ana haki ya kuaminiwa.
Tufupishe story Kilichomkuta anajua mwenyewe alinitumia txt akaniambia "naomba uniache uwe na mwngine " bembeleza anipe sababu hataki ikawa hivyo penzi la miaka miwili likaishia kwa style hiyo.
Siwezi kukutafuta tena ila siku ukinitafuta nitaishia kukwambia ASANTE
Ili watu wajue wakati wakati huyu analalamika kuachwa na aliyetoka nae chini kuna mwingine anacha alichokipandisha juu