Nimefurahi kuona mwanaume/mwanamke mwenye msimamo na mwenye uelewa wa uhalisia wa mambo!!Haswa hilo ndo jawabu mijitu inazani kudanganya wenzao ni ujanja bora mdanganye vingine sio mapenzi kutokana na hulka tulizoumbwa nazo wanaume tunawaonea sana wanawake sio na watetea ila wanawake wengi huwa wana imani sana na akikuamini hata aje nani amwambie amemshuhudia jamaa yake guesthouse hawezi kumwamini hadi aone kwa macho yake ndo ataamini japokuwa kwenye msafara wa mamba mijusi kenge hawakosi ila wanawake wengi wanaume ndo tunawavuruga na kubadilisha tabia zao
Nimefurahi kuona mwanaume mwenye msimamo na mwenye uelewa wa uhalisia wa mambo!!
22nd August 2012:
Ulikuja na sredi namna ulivyotiwa umasikini kutokana na mapenzi, sijui kama yule demu wako "ex workmate" alifanikiwa kujifungua.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/311905-mapenzi-yalivonitia-umasikini.html
12th July 2013:
Vipi ulifanikiwa kumpata kichunda wa moyo wako? au ndio huyu unayetaka kumtosa sasa?
Ila sidhani maana uliandika kuwa unatafuta mke mtarajiwa.
https://www.jamiiforums.com/love-connect/485476-looking-for-wife.html
hapa ndo napoipendea jf. kwa kumbukumbu tu watu wapo makini
Aliumwa kwa muda tu hospitali wakasema aachwe anaumwa ugonjwa wa mapenzi...ha ha ha alikuwa sawa!
Cc christine ibrahimna mimi nataka nikupende mpaka niugue huo ugonjwa wa mapenzi, are you ready?
Kwani da maria pia, mpaka unafika leo hii ulishatakwa na wangapi? Je hao wote walokutaka walikua na nia ya kukuoa kweli?km ulijua bado upo upo ulimtaka wa nn?...huu ndo ujing mwingine, kwahyo huyo ukimtenda unafikiri atawaonaje wanaume?wanaume wengine bana sijui wakoje
mimi49 umenifurahisha sana. Acha uoga bana
hahahaha christine Ibrahim njoo huku bana
hahahaha christine Ibrahim njoo huku bana
Huyu Mokoyo anataka anipake mafuta kwa mgongo wa chupa!eheeee ndo nishakuja. jitetee ss nikuone la sivyo kibuti kinakuhusu mokoyo