Nitamwachaje Huyu binti?

Nitamwachaje Huyu binti?

We fanya unalotaka kufanya utajijua mwenyewe!
mimi49 unajua kabisa kuwa unahitajika kwenye maisha haya ila unaweka poozi
Umeona uombe msaada enhee
mkuu hapa usipojisalimisha unaweza kunyimwa msosi bure
lol,.mokoyo anafikiri mimi Munkari nashukuru sana kwa kunipa taarifa.....thubutu kukutwa utajuta kunifaham, mi huwa sishei eti. cc mimi49
aaaah jamani you know cant betray you
eheeee ndo nishakuja. jitetee ss nikuone la sivyo kibuti kinakuhusu mokoyo
usisikilize ya walimwengu watakupotosha
Huyu Mokoyo anataka anipake mafuta kwa mgongo wa chupa!
hapana shikamana unaposhikwa bibie
 
kaka hatakuandikia barua huyoo ya kusababisha kifo chake shauli yako me niulize mimi nikupe story
 
602118_590388787656043_1228834126_n.jpg
 
Back
Top Bottom