Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

Mengi yepi utayasikia kutoka kwa shonza ambaye hakuwahi hata kuwa kwenye vikao vvya maamuzi,na yepi mapya ambayo amekuja nayo zaidi ya yale ameyasema kwa mwaka mzima, huyo ni tambala bovu hana lolote na amejipaka kinyesi kwa maisha yake yote ni doa hana pakujisafi

Subiri una haraka gani? Kama lingekuwa tambara bovu lisingewaumiza kichwa!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kila siku ninasema Gazeti la Mtanzania Daima ni udaku angalia sasa walivyoumbuka.

unalako jambo kiherehere kama mpika vitumbua Mwananchi kaandika sasa yeye anakuja kuruka hapa,anamtaka mnyika ndivyo alivyotumwa na Zitto ampakaze mnyika hilooo uso mkavu
 
Naomba uniambie mnyika kafanya nini jimboni kwake toka achaguliwe.
Tatizo mna believe sana ndoto kuliko reality, haya mambo yalikuwa zamani enzi za mzee meko kuuziwa picha ya trekta.
I believe in reality na ndio maana naamini kuwa ni CCM pekee inayoweza kuongoza nchi yetu, upinzani bado sana, ujanja ujanja mwingi mno

Jiulize mwenyewe kabla ya Mnyika Ubungo ilikuwa chini ya mbunge wa chama gani?kwa miaka mingapi?
 
dadaa nahc umefilisikaaa kisiasaaa hunaa jipyaaaa nendaaa zakoooo hunaaaa jipyaaaaaa hayaaaa sasaaa unaanzaaa kuonekanaaaa kweupeeeeeeeeeee thx saa8 kwa kutufunguliaaa huyuuuu mbwaaaaaaa
 
Mimi sio mwana siasa na wala sipendi siasa ila CCM itamfia JK mikononi mwake!Mungu amfichi mnafiki na Mungu apokei Rushwa na Darubini ya Bwana inatuchungulia.Some trust in their war Chariots,and some trudt in their Horses but we will trust in our Lord.(Some trust in their political power and some trust in their Money! (Wana mahela na power) ila CCM wana Laaana ya Nyerere Damu yake inalia kama ya Abel alieuliwa na Cain.just fake us with media,but katika roho zenu mnajua ukweli wote!at the end of days ata kama unalindwa na FBI nature will take control.Makaburu walikuwa na trilions,blacks South African walikuwa makapuku!But....? CCM watubu wamrudie Mungu wao... Ata kama sio CHADEMA ila wajue CCM Mikono yao ina damu za watu wasio na hatia na Neno la Mungu alipindagi na Mungu apokei Rushwa.yea you got money but akuna mchele wa dhaabu!
 

Njama za kunigombanisha na kunifuatilia kwa mtindo hasi katika siasa zangu ni kuishiwa kwa uwezo wa kufikiria.
Nimeshangaa kuona gazeti uchwara limeandika kwamba Nitagombea ubunge UBUNGO.Kama mmeishiwa habari nendeni mikoani mkatafute habari.

MIMI NITAMUUNGA MKONO MGOMBEA YEYOTE WA CHAMA CHANGU(CCM) ATAKAYE GOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO NA SEHEMU YOYOTE NDANI YA TAIFA LANGU.

NITAMUUNGA MKONO ZAIDI MGOMBE UBUNGE JIMBO LA UBUNGO KUPITIA CCM KUHAKIKISHA MNYIKA ANANG'OKA,MIMI NI MZAWA WA UBUNGO NAISHI UBUNGO.
HAKUNA AHADI ALIYOITEKELEZA HUYO MNYIKA,TATIZO LA MAJI LIMEMFIKA SHINGONI.NA HILO LITAKUA CHAPUO LA YEYE KUNG'OKA.

HIVYO BASI,WATANZANIA WENZANGU HABARI ZA KUUNGA UNGA ZENYE LENGO LA KUNISAKAMA KISIASA NAOMBA MZIPUUZE.
CCM CHAMA CHENYE HADHI YA KITAIFA,CCM IMARA,CCM JIKO NA CHIMBUKO LA VIONGOZI BORA,MAKINI NA UTAWALA BORA.
asanteni

Huna jipya wewe tumeshakufahamu na tena unavyoendelea kubwabwaja ndo kabisaaa unazidi kujivua nguo dada yangu!
Ubungo hauishi peke yako na wala we sio pekee mzawa wa ubungo, tuko wengi na tunaridhishwa na uchapakazi na ushupavu wa mbunge wetu wa sasa.
Hiki unachokifanya sasa ni kutaka kutumia mgongo wa Mnyika ili walau urudishe hadhi yako ambayo kwa makusudi mazima , kwa tamaa ya pesa na ulimbukeni wako umeiharibu.

Kabla ya kugeukia kwa jirani hebu kwanza muulize huyo mwenyekiti wako mpya, mpaka sasa amekwisha timiza ahadi ngapi alizozitoa kwenye kampeni 2010!
Je Kigoma imeshakuwa DUBAI? Mtwara umeshakuwa mji wa viwanda? zile meli alizoahidi ziko wapi?Maabara kwenye shule za kata amejenga ngapi?....MENGINE WATAONGEZA WANA JF COZ LIST NI NDEFU
Ukitaka kurejesha hadhi na kusafisha taswira yako iliyoharibika vibaya mbele ya jamii,NYANYUA KINYWA CHAKO NA UMUULIZE HAYA MKUU WA KAYA!
 
Daah! yaani tena kwa namna ulivyofeli vibaya kazi ambayo ulitumwa, we ngoja anadhani atapata cheo au nafac ya kugombea, usimuone mwenyekiti alikua anatabasam na wewe kwenye ile picha mliopiga, mwenyekiti kutabasamu ni hulka yake ucdhan alikufurahia sema imebidi upokelewe kwa sababu mlishakua na covenant tayari kua kazi ikiisha utajiunga na ccm, lakini we umeshindwa kuimaliza kwa hiyo kama furaha yako itakua ni kupiga nae picha tu sawa, ila zaidi ya hapo mama cdhani kama hata uenyekiti wa kitongoji kwa tiketi ya ccm utaupata, waaaaala hawana shida na wewe..Upewe cheo umeingia leo hii wakati kuna vijana wamezunguka kufanya mikutano ya ccm miaka saivi wanasubiri hizo nafac na hawajazipata bado, muulize Nape amekaa muda gani ndo akaukwaa u dc napo ni baada ya kukata tamaa na kuanzisha chama kingine ndo mkuu akamhurumia,we hesabu tu 20 yrs kuanzia sasa, nafkiri utakua mbibi tayar.Me yangu macho
 
Mkuu Ritz
Makamanda wanajinyea Juliana Shonza ni kifaa ndio sababu wanakuja na kila aina ya kebehi wanajua wazi yapo mengi tutayasikia kuhusu babu na walaji wenzake; wao walidai siku nyingi aondoke sasa leo hii iweje wapige kelele? Mkuu tafakari kwa kina; walianza kuandika uongo leo amekuja na ufafanuzi wa kauli yake kwa imekuwa nongwa na husda hivi hawa binadamu wa aina gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
Maskini chama...! unaikumbuka hii...

15th January 2013 - Mimi Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA natangaza rasmi Mtela Mwampamba na Habib Mchange ni wanachama hai na halali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hivyo nawaomba waendelee na kazi zao za ujenzi wa chama kwenye majimbo yao na taifa kwa ujumla. Nawaomba wananchi na wanachama wote wa CHADEMA waendelee kuwa na imani dhidi ya vijana hawa. Kama mlivyomwamini Mwampamba na kumpa kura 32000 na kama mlivyo mwamini Mchange na kumpa kura 10,400 kwenye uchaguzi wa Ubunge mwaka 2010. Vivyo hivyo naowaomba muendelee kushirikiana nao kuhakikisha wanatimiza adhima ya ukombozi mwaka 2015.

Wenu katika ujenzi wa demokrasia makini,

Juliana Daniel Shonza,

M/Kiti BAVICHA-Tanzania Bara.
chama, hata mwezi bado...! Sasa shuhudia mwenyewe haya mayowe!
13 February 2013 - MIMI NITAMUUNGA MKONO MGOMBEA YEYOTE WA CHAMA CHANGU(CCM) ATAKAYE GOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO NA SEHEMU YOYOTE NDANI YA TAIFA LANGU.
chama, nimekudharau! Kinachonikitisha ni huu unafiki...yaani bila hata aibu! I love JF.
 
Kila Dini inatuambia kuna life after this life! Ila nna mashaka CCM we will Number those who will pass at Sindano gate.CCM better Sadam and Gadafi.but Mungu atatupigania wa Tanganyika
 
We kikongwe huna ubavu wa kumg'oa Mnyika ubungo,hata mkipiga kambi mwaka jimbo la ubungo ccm ndo inafutika kabisa wala kumbukumbu lake halitaonekana tena.,kaijifie na wachovu wenzio magamba.
 
Maskini chama...! unaikumbuka hii...

chama, hata mwezi bado...! Sasa shuhudia mwenyewe haya mayowe!
chama, nimekudharau! Kinachonikitisha ni huu unafiki...yaani bila hata aibu! I love JF.

Hata mimi nimekudharau tatizo lipo wapi? Juliana Shonza ametumia haki yake kidemokrasia ameamua kujiunga na chama makini CCM yeya anapigania demokrasia makini anaweza kulitekeleza hilo ndani ya CCM hata wewe karibu sana milango ipo wazi kwa mtanzania yoyote kujiunga na CCM

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
siku zote adui akikutuma ukashindwa kazi yake
lazima akuangamize kwa njia yoyote ile usije ukatoa siri zake.
Juliana fao la uovu ni uovu kuwa makini sana na hao waliokutuma
nakushauri ukimbilie vijiji vya mbali ukalime mchicha na bamia
Kushindana na Mnyika ni sawa na kuchimba mawe mlima Kilimanjaro
unapoteza muda,
angalie sana wasije kukufaidi kimwili pia.
wana JF tusipoteze muda na huyu msaliti,tujadili ya maana zaidi
 
Ukiona jinsi makamanda wanavyotoka povu kumshambulia huyu dada ndio ujue kuwa ni mwiba na imewauma sana kuondoka kwake l;aa sivyo wangeuchuna tu
Masahihisho. Huyu hakuondoka ila kafukuzwa,nina mashaka na ufuatiliaji wako wa habari.
 
HUWA NAMWOMBAGA MUNGU, HATA AKININYIMA VYOTE ASINIONDOLEE AKILI TIMAMU, JUZI TU HAKA KADADA KALISEMA KUWA KENYEWE NI KA - MAKAMU MWENYEKITI HALALI CHA BAVICHA, TENA KANA MPANGO WA KUGOMBEA UENYEKITI KABISA, LEO HII JUMA HALIJAISHA KANATAKA JIMBO LA UBUNGO KWA TIKETI YA MAGAMBA! VITU HIVI VINAWEZA KUTOKEA Tanzania tu!!!!!!

Duh...................!!!!!
 
Shonza utauza sura sana mwaka huu :

  • Ukizingatia soko la ajira limebana na waajiri tunakuogopa kama Ngoma, labda ujiajiri mwenyewe
  • Ukijiajiri mwenyewe wateja tutakukimbia
  • Kumpata mwanamme wa kujenga nae familia itakuwa kitendawili kwani waweza mgeuka mda wowote ule
  • Shonza kama umekubali kutumiwa kisiasa, ni dhahiri unakoelekea utatumiwa kimwili
  • Majirani zako wenyewe wana kukwepa kama ukoma
  • Ndugu zako wenyewe wanakushangaa

Utauza sana sura, tatizo ni wateja
 
Mkuu Ritz
Makamanda wanajinyea Juliana Shonza ni kifaa ndio sababu wanakuja na kila aina ya kebehi wanajua wazi yapo mengi tutayasikia kuhusu babu na walaji wenzake; wao walidai siku nyingi aondoke sasa leo hii iweje wapige kelele? Mkuu tafakari kwa kina; walianza kuandika uongo leo amekuja na ufafanuzi wa kauli yake kwa imekuwa nongwa na husda hivi hawa binadamu wa aina gani?

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Huyu binti kumbe ni wembe kwa Chadema gazeti lao la udaku lilimuandika kuwa anagombea ubunge Ubongo bahati nzuri kawafunga mdomo.
 
Last edited by a moderator:
Yani wanajamvi mnamjadili shonza kakiri chadema hahami ni kukimbia changamoto, yeye ni makamu bavicha mahojiano nitagombea U BAVICHA. Jana kahama siku haijaisha tangia apokelewe nagombea ubungo siku haijaisha nimezaliwa ubungo kesho atawambia samahani nimezaliwa Amana au Mwananyamala hivi punde mnyika hata miaka 5 bado hawezi timiza ahadi, kikwete samahani nilikutukana. Wanajamvi bado mna muda na mtu wa namna hii nanyi mna matatizo mie tangia umasalia nilimpuuza siamini kama jema linaweza toka kwake kwa afya ya jamii na tangia siku hiyo ameendelea na ataendelea kudhihirisha hajielewi na siku akijielewa akakosa guidance na counselling atajimaliza heri aendelee kutojitambua. na wasiwasi na mnaompa nafasi kumjadili
 
Back
Top Bottom