Nitamuunga mkono Magufuli 100% kama ataeleza tuhuma za RC wa Dar es salaam!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
Ukimya wa rais juu ya Makonda kufoji vyeti unatia shaka sana!
Endapo Magufuli bila kupepesa atasema ukweli juu ya tuhuma zinazo mkabili na Makonda basi nitaungana nae kwa100%.
Magufuli atueleze watz kama ni kweli rc ws dsm alifoji vyeti au la...
 
Rais analaumu vyombo vya habari wakati yeye ndiye anasababisha yote.this is bad embu onyesha hekima kidogo unazidiwa na hata mtotto mdogo?nawe bashite unaona taabu gani kujiuzulu hadi anayekubeba atukanwe hivo?
 
Mimi namuunga mkono kwenye Mengi tu ila hili la Bwana Makonda ni mojawapo ya yale ambayo sipo naye kabisa!
 
Ukimya wa rais juu ya Makonda kufoji vyeti unatia shaka sana!
Endapo Magufuli bila kupepesa atasema ukweli juu ya tuhuma zinazo mkabili na Makonda basi nitaungana nae kwa100%.
Magufuli atueleze watz kama ni kweli rc ws dsm alifoji vyeti au la...

Ni nani alikudanganya anahitaji kuungwa mkono na wewe? Kwendaaa!
 
Hata usipomuunga mkono hapungukiwi na kitu!!

Kama hapungukiwi na kitu jazba za nini hadharani mpaka usoni mwa Rais wa benki ya Dunia?! Vyeti vya bashite mbona havitolei kauli licha ya watanzania wengi kupoteza kazi kisa vyeti feki?! Utawala wa sheria lazima, Makonda aonyeshe vyeti nchi itulie; double standards haikubaliki, ndio maana wahariri wengi wamepiga chini habari ya makonteina bandarini kwa sababu ilikuwa ya kubuni kufifisha mkasa wa Nape! Hatudanganyiki, Makonda tunataka vyeti; Nape mbele daima.
 
Binadamu wengine wabishiiiiiiiiiiiiiiiii

Wewe jitokeze na jina lako uandike hayo kama una hata ubavu.

Na ubishi wa kama wewe ni kwasababu mmeguswa.

Na bado mtanyooka tu kipindi hiki cha mpito, kama alivyosema.

Makonda oyeeeee
 
Hilo ndio jina langu...

Wadhani natumia vyeti feki we pimbi??
Kabandulike huko...!
 
Hiyo siyo issue kwa Magufuli tutapiga kelele mpaka tutanyamaza wenyewe.

Aliapishwa kama mkuu wa wilaya utawala wa JK na sasa ni RC kwa JPM

Hiyo ilishapitwa kwa Magufuli sahau kabisa!!
 
Hilo ndio jina langu...

Wadhani natumia vyeti feki we pimbi??
Kabandulike huko...!

Nimekugusa umetoka povu

Ha ha ha haaaaa

Makonda oyeeeee

Endelea kuwakosesha usingizi wavivu hawa waliojaa wivu na tamaa.
 
Ukimya wa rais juu ya Makonda kufoji vyeti unatia shaka sana!
Endapo Magufuli bila kupepesa atasema ukweli juu ya tuhuma zinazo mkabili na Makonda basi nitaungana nae kwa100%.
Magufuli atueleze watz kama ni kweli rc ws dsm alifoji vyeti au la...
Ikitokea ameongelea hilo nahama nchi kwa aibu.
 
Ukimya wa rais juu ya Makonda kufoji vyeti unatia shaka sana!
Endapo Magufuli bila kupepesa atasema ukweli juu ya tuhuma zinazo mkabili na Makonda basi nitaungana nae kwa100%.
Magufuli atueleze watz kama ni kweli rc ws dsm alifoji vyeti au la...
Kitu ambacho hawez maana ameonyesha wazi wazi kumtetea
 
Back
Top Bottom