Nitamuachaje huyu?

Nitamuachaje huyu?

Kumbe ndo maana alikuwa anakukatalia, alijua utamzingua tuu
nakweli ndo unavyomfanyia sasa, unajiona kidume baada ya kumlala
Unamuona kama just piece of trash!

Mimi nilikuwa lengo la kufika nae mbali..lkn we mtu hata hupumui,,yani anakuja getoni kama anaenda chooni,,hani taarifu,,tena mda wowote..yani atajipitisha hapo weee ili mradi umuone au umwite..
 
Unatembea na mtoto? Nyota yako ya segerea inang'ara.
Halafu itabidi upige kura ya kuamua kumuacha kama ulivyopiga kura ya Kujitoa Ukraine na kuhamia Urusi...lol!

Mkuu, huyu ana miaka 22, na wala hasomi.
 
Hahaha umenichekesha. Usingemuonjesha vitamu na wewe. Mambo ya kuchungulia dirishani huko uswazi mnakokaa kuna siku watamdhania mwizi wamuue, mpe hiyo sababu ya kumuacha.

Nakwambia, bora wewe unaeishi masaki dear..
 
Hivi nyie under 16 na wanafunzi wa sekondari humu mnatafuta nini .Itabidi Wana MMU itabidi tuendeshe operashen maalumu ya fukuza watoto MMU ili wasije wakatu ua kwa mada zao .Au Ikiwezekana Ianzishwe MMU ya watoto.

Mi sina miaka 16 wewe! Ina maana kukutana na hali kama hiyo ni kuwa na miaka 16?
 
Mi sina miaka 16 wewe! Ina maana kukutana na hali kama hiyo ni kuwa na miaka 16?

Mkuu Mrembo ametokea kukupenda kiasi hicho wewe unatata kumwacha wengine humu kila kukicha tunazunguka kutafuta warembo ,kutuma PM bila marafanikio lakini wewe unataka kumwacha huyo mrembo kirahisi namna hiyo kwa upungufu mdogo aliokuwa nao .hiyo tabia si unaweza kumwonya tu akakuelewa.Kama unaamua kumwacha huyo mrembo umwambie kuna mtu anaitwa SAYANSIKIMU anakutafuta umuelekeze kwangu maana mimi nataka kupata mrembo atakaye tokea kunipenda kwa dhati namna hiyo.Kau pungufu kadogo tu unataka kumwacha mrembo.Naomba umuelekeze kwangu aisee bahati kama hizi kila siku tunazitafuta hatuzipati.
 
huyo haina haja ya kumuacha kaka yangu.kama unajua atauia basi ni dhahili anakupenda.kaa nae zungumza nae kwa utulivu.mpe sababu za wewe kufanya hivyo.mwelekeze nin anatakiwa afanye na nini asifanye .wakati gani na kwanini.naimani atakuelewa tuu.
huyo mdada anakupenda na ndo maana mda wote anataka kuwa nawe labda kutokana na uhusiano wake wa nyuma ulikuwa mbaya kisa umbali n.k.
pia kama amemaliza shule yupo tu nyumbani mtafutie kitu cha kufanya kitakacho muweka busy.na wewe kuwa busy na ishu zako sio mda wote kukaa nyumbani.UKIMUACHA ANAE KUPENDA UTAMPATA ASIYE KUPENDA.
 
Ama kweli thamani inashuka jamaa akishakula mzigo
 
Mwenzako anakupenda ila hajui ni namna gani akupende. Teach her how to love you, sio kazi ngumu.

Hakuna mwanamke or for that matter mwanaume asiye na mapungufu, ila ukiwa na juhudi atakuelewa tu. Mwambie na rudia tena kumwambia, kitu gani unataka afanye na kipi asifanye.

Usimwache au kumdharau mwanamke anayekupenda, mtengeneze a-fit kwenye dunia yako. Utajakutana na wale ambao bila fedha haji kwako. Utarudi tena JF kusema wanawake wa siku hizi wanapenda sana fedha. You will never know the value of what you have till it's gone
 
Mapenzi saa zingine yaache kama yalivyo ukijilengesha ukapenda zaidi yake utaona
 
Sidhani kama unajua nini unataka.....au ulikosea kuandika,au ulimtaka mara moja halafu ajipange zake,kua mwanamme mweleze ukweli kwa hekma atakueleewa sababu nadhani wewe sio wakwanza kwake na wala hutokua wa mwisho...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom