Nitamtokeaje huyu Msichana?

Chukua vocha zako kama nne hivi..za mitandao tofaut afu ukifika pale...nunua embe lako kama kawaida..hahahaha ...wakati unakula muulize dada hivi unatumia halotel?? Akijibu ndio" sema dah afadhali afu mpe ile vocha ya halotel mwmbie kuna mtu amekuagiza umrushie afu wewe huna line ya halotel..kwa hiyo aingize kwake afu amuhamishie...(sasa hapa inatakiwa uwe na namba flan ya halotel ambayo sms ya utambulisho ya muamala itafika na namba yake..kazi kwisha.....ili kumchombeza zaidi mwmbie atume nusu nusu abaki nayo..baada ya hapo ongezea na embe jingine endelea kutafuna...ila ukiona tumbo limeanza kuscratch aga fasta sana maeneo hayo...
 
Mambo ya barua yakizamaaaani kwan hana sim akupe number then umuombe mkutane sehem?
 
Ukishindwa hiyo mwambie wee ni mganga na unaogopeka sana hapo mtaani.mwmbie ukitaka kitu huwa hukosi..kwani hukawii kumroga huyo atakayekunyima.....afu baada ya hapo..mwambie hebu nipe namba yako nikurushie picha za watu niliowaroga kisa walikataa matakwa yangu....hapo laIma akupe namba zote mpaka ttcl..ukishapata namba kazi kwisha...
 
Hahahaaaaaaaa hii kali
 
Wazee wa fursa.. Nawaona Nawaona

Thanks God my king Julian hanaga shobo na mademu anajua kabisa his gal is there for him..

Cc Smart911
Yeah fursa ikijitokza lazma uichangamkie....huyo King wako asithubutu maeneo ya wanaume wa shoka atakupoteza
 
Mambo ya barua yakizamaaaani kwan hana sim akupe number then umuombe mkutane sehem?
Ishu jinsi ya kuipata hiyo namba yaani lazma nimuite alaf niingize na swaga mbili tatu km mtaalau Daby alivyonielekeza sasa ishu inakuja jinsi ya kumchomoa kwao na kufanya nae mazungumzo
 
Daah we noma mkuu inaonesha njia zako za kutongoza lazma ujitoe ufahamu kwanza
 
Mkuu unaonekana mpole saana. Hata kutania tania hauwezi? Tania tania then na yeye atafungua mdomo zaidi ya alivyo sasa. Ukishafanya hivyo inakuwa rahisi hata kuchukua namba ya simu

Upo sahihi mkuu hiyo ndio njia bora na rahisi kuanzishia mazoea kama sio ukaribu
 
kama Njia zote zikikwamba tumia huu msemo ''mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake''
Hii njia nilitaka niitumie mwanzo wa mchezo kabisa lkn kila nikitafuta mtu wke wa karibu simpati yaan huyu mtoto ni mgeni maeneo haya sijawahi kumuona before mwanamke mwenzie ni Dadake peke ambae kaolewa maeneo hayo na yupo pamoja na watu wengine ambao kiumri wamemzidi kiasi kwama anawaheshimu
 
Wanaume waoga ni fedheha mbele za wapenzi wao.....sasa unaogopa nini....lakini ushamsoma bodylanguage unaona anajaa...? acha undezi hata kukonyeza hujui,...? kwani phoni hana...? tongoza kijanja ...wenzako chini ya dakika tatu tu mtoto anakuwa kashalainika tunapeleka gheto tunabandua ngozi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…