Nitamtokeaje huyu Msichana?

Omba namba, mambo yote utamaliza kwenye simu
 
Haha kutongoza ni saana aseeh ndiyo maana kumfundisha mtu inashindikana saana. Yaani mtu kukupa attention inategemea vitu vingi saana
1. Chemistry
2. Muonekano wako
3. Status
4. Uchumi wako
5. Mazingira
6. Msaada wako kwake
Mambo kibao saana
Daby ungekua nchi zilizoendelea ungekua unamake money kupitia njia hii ya Mahusiano......hiyo ni kweli vitu hivyo ulivyovimention ndio silaha kuu ya kumpata mpenzi unaemtaka hasa muonekano na uchumi wako
 
Abuu tujipange hapa hapa tutapiga... ngoja muda uende ende kidogo
 
kama Njia zote zikikwamba tumia huu msemo ''mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake''
 
Barua? mh ilikuwa zamani na nilikuwa fundi sana wa barua ila now nahisi nimesahau ufundi huo.
Kati ya vitu ambavyo havitopitwa na wakati ni uandishi au ujumbe wa maneno ndio maana kote duniani barua ndio fasihi inayotumika kupeleka taarifa sehemu
 
Abuu tujipange hapa hapa tutapiga... ngoja muda uende ende kidogo
Kibongobongo kila mtu anajifanya mjuaji lkn kwa wenzetu ungeshakua na ki center chako cha ushauri wa mambo ya mapenzi na mahusiano
 
Ndugu mchawi namba tu achana na mambo ya barua utaonekana mshamba.
Tatizo siwezi kuipata namba yake ya simu mpaka niongee nae muda mwingi yupo kwao hana marafiki mtaani ni mgeni kidogo isitoshe mi hapo wao napita km njia kuelekea home ambapo ni mita km 500 mbele so hata ile labda kumvizia inakua ngumu ntapoteza muda mwingi sana
 
We jichanganye ule za uso utulie tu babu
Mwisho wa siku itabidi nitumieushujaa huo nijilipua km Msomali tatizo Magu nae kazuia Viroba kingenipa stimu za kusimama infront of her family member na kumuita chobingo
 
Mwanaume funguka, hata wateja wakikuta unaimbisha;
ndio uanamme wenyewe.
ukijiamini ndo utammaliza nguvu yeye.
 
Niagize mm nikampelekee hizo salaam zako kwake
 
Inahitaji kichwa ngumu kumpanga manzi labda awe anakuelewa tu kabla hata hujaanza mtia verse
Haha kutongoza ni saana aseeh ndiyo maana kumfundisha mtu inashindikana saana. Yaani mtu kukupa attention inategemea vitu vingi saana
1. Chemistry
2. Muonekano wako
3. Status
4. Uchumi wako
5. Mazingira
6. Msaada wako kwake
Mambo kibao saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…