Unaondoka unaenda wapi? Baki hapo hapo na mzigo wako.Staki kuwa na mashaka nataka kuwa na uhakika kama ni bleed au la basi,baada ya jibu mojawapo ndipo nifanye maamuzi sasa,kuendelea kumpenda kama mke au kuondoka zangu na kuendelea na maisha mengine.
InasikitishaLishamfika mtu jambo.
Akili kumkichwa, ukilemaa umeachwa feri.Inasikitisha
Namshangaa anataka kukimbia hilo zigo lake la misumari amuachie nani? 😆😆
Ingekuwa unataka kujua kweli ,mpaka Sasa ungekuwa una majibu.Unataka kusema hakuna faida ya kujua unasalitiwa?
Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.
Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.
Asanteni.
Unatakiwa uishi na mtu ukiamini kuwa na yeye ni binadamu na lazima atafanya makosa ya kukukera.Akili kumkichwa, ukilemaa umeachwa feri.
Hili nalo neno.Wewe huko ulipokua miezi yote 9 hujawahi kupiga nje? Au unamtafutia sababu tu? Usikute huko ulipokua umekamatika kwa nyumba ndogo sasa unataka kumuundia zengwe ili umpige chini..
Amen[emoji120]Kwa kuwa hukuwepo ilipoingia hiyo mimba huwezi kujua kilichotoka, kubali tu kuwa ni bleed.
Wanaume, Mungu awatie nguvu.
Wenye mioyo midogo watafurukuta.Unatakiwa uishi na mtu ukiamini kuwa na yeye ni binadamu na lazima atafanya makosa ya kukukera.
Ukiishi ukaamini mwenzangu hawezi fanya upuuzi ndo hapo unapanic.
[emoji106][emoji119]Ingekuwa unataka kujua kweli ,mpaka Sasa ungekuwa una majibu.
Kujua kusalitiwa kwa mara ya kwanza kunaumiza sana- believe me you won't be the same ukishagundua usaliti wa mkeo. Utateseka sana , pengine hutopona mpaka siku unakufa.
Siyo jambo zuri kabisa kujua ,japo binadamu tumejawa na udadisi
NB; simple tu ,nenda pharmacy nunua UPT-rudi nyumbani ingia naye chooni akojoe kwenye kopo au ndoo, tumbukiza kipimo,kitoe , subiria dk 2 itasoma mistari inayostahili, utakuwa umepata majibu yako
Unambebaje mzobemzobe? Yaani unamkokota kama mbuzi au? 😅😅😅Af hawa jamaa wasilete utani.. jana yule wa safri ya singida dodoma kapotelea hewani.
Haya huyu mwingine kashapewa maelekezo ya kufanya na yeye kuna uwezekano akapotelea hewani bila kuja kutupa mrejesho kama mimba imo au la.
Ifike sehem mawazo yetu yaheshimiwe
We jamaa, mtoa mada, kama una hofu katoa mimba kuwa smart, ukileta kipimo hapo gheto mtaishia kugombana maana atashkilia kidedea kua humuamini. Kuwa mjanja, toka nje nenda hata ka maabara au zahanati ambacho mnafahamiana na staff hapo, mwambie wazi shida yako ya kumpima mimba. Kisha rudi home mbebe mwambie tunaenda hospital naumia unavoteseka. Akigoma mbebe mzobemzobe mpeleke, wakifika ataandikiwa kipimo cha mkojo af mwanao atakupa majibu nje ya kambi kama imo au haimo. Mkiwa pamoja mtapewa majibu ya uti sugu. After hapo majibu ya swali lako unayo.
Sasa tukushauri vyote hivi af usilete mrejesho, hakyanan tunakuundia zengwe
8 dysHuchukua muda gani kurudi katika hali yake ya kawaida?
Utakua umeiondolea maana ya GRAET THINKERS katika kwenye JF tupo kwa ajili ya kusaidiana kimawazoUnampa ushauri mtu ambaye ana taharuki?Unategemea atatoa muitikio gani hapo?Mtu wa hivyo ni wa kumdanganya kwa lugha nzuri ili asifanye madudu zaidi.
Ndiyo maana panaitwa kwa ma-Great thinkers.Unapaswa ufikirie deep,kwa muda mfupi bila kumshtua muomba ushauri.Zingatia hapo.Halafu unampa jibu lisilomletea madhara.Utakua umeiondolea maana ya GRAET THINKERS katika kwenye JF tupo kwa ajili ya kusaidiana kimawazo