Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kumtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM. Tume wakishatoa fomu
Endelea kumtafutia wadhamim mzanzibar huku akiijenga zanzibar na kuua watanganyika
 
Kumtafuta wadhamini ndio nini; maana naona kwenye kichwa cha habari umeandika hivyo na kwenye content umerudia hivyo maana yake unajua unachokiandika
 
downloadfile.jpg
 
Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahili wakishatoa fomu
Mbona mbubujolikwa machozi yupo tayari
 
Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki.

OktobaTUNATIKI
Unawahi deal; Tenda hiyo kwa kuwa unajua kuna pesa zinagawanywa
 
Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki.

OktobaTUNATIKI
 
Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki.

OktobaTUNATIKI
Mgombea wenu ameshatangaza CCM ilishashinda, unahangaika na nini tena?
 
Hujielewi, umtafutie wadhamini wakati yeye ndiye mgombea pekee!, au hujui huko ccm form inatolewa moja tu?

Unasubiri tume gani itoe form za kugombea, waliishasema form ni moja tu kwa ccm.

Hao Wadhami wanadhamini nini hasa?
 
Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki.

OktobaTUNATIKI
No Reforms, No Elections.
 
Bila Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,

Uchaguzi batili UTAYEYUKA.

Sasa usipoteze muda wako kufanya ujinga.

NRNE 💪 🔥
 
Back
Top Bottom