Nitamshangaa mwanamke atakayeenda kujidhalilisha mbele ya RC Makonda

Hapa cha kusema ni Makonda kakosa kazi. Kuna mambo ya msingi ya kufanya. Aachane na nature, hatozuia wala kupunguza hii kitu, akapambane na mafuriko ya jangwani pale. Hawa wanawake wengi wao ni viherehere vyao.
Pia kama anataka azuie hii kitu kwa dar, azuie mvua zinazotemgeneza mazingira ya watu kugongana.
Kifupi ni kuwa ustawi wa jamii unasaidia sana ktk hili suala la wanaume wasiojali watoto wao, ye angefanya kazi na ustawi wa jamii
 
Mkuu unataka uwaone wanaume unawaonaje wakati wao wamewatekeleza hao wanawake
Wapo wanaume waliotelekezewa watoto, mi naona kama vile wamebaguliwa walitakiwa wajumuishwe! ila TZ kuna vituko sana nowdays!
 
Yani jamaa kisa tu pumbu zake hazitoi shahawa pevu zenye nguvu basi hapo kimemuuma hadi kuwaonea wivu vidume vya mbegu vinavyototoa watoto

Eti kupigania haki ya watoto si uzae wa kwako mxiiiiiieeew kazi kukojoa maji na upepo tu


Kati ya hao naomba mmoja wapo awe ni wa baba yake Mungu wa tz


Cc makonda soma hapa acha kimbelembele mbwa wewe
 
Mkuu kwani kwa mawazo yako unafikiria wanawake wana akili timamu kama zako?, hujawajua vizuri hadi leo......waache wafanye yanayoifurahisha mioyo yao
 
Mama ni mungu wa pili na nguzo muhimu duniani, ndio maana kuna msemo usemao "Hakuna kama mama".
Wengi wetu tumelelewa na mama na kupewa mahitaji yote na mama zetu mpaka kufika hapa.

Baadala ya kwenda kudhalilishwa huko na wanasiasa wanaotafuta umaarufu, tumieni muda kufanya kazi na kupata chochote cha kumhudumia mwanao, waacheni hao wanaume wajinga waliokimbia majukumu ipo siku watawakumbuka kama yule baba wa msanii.
Hata me naona ni upumbavu kwenda kujidhalilisha pale. Badala ufanye kazi uweze kujikimu. Unaenda kujidhalilisha
 
Mama ni mungu wa pili na nguzo muhimu duniani, ndio maana kuna msemo usemao "Hakuna kama mama".
Wengi wetu tumelelewa na mama na kupewa mahitaji yote na mama zetu mpaka kufika hapa.

Baadala ya kwenda kudhalilishwa huko na wanasiasa wanaotafuta umaarufu, tumieni muda kufanya kazi na kupata chochote cha kumhudumia mwanao, waacheni hao wanaume wajinga waliokimbia majukumu ipo siku watawakumbuka kama yule baba wa msanii.
Too late man ...wameshaenda . Tena wanavyopenda mteremko, nadhani hiyo ndio fursa yenyewe sasa.
 
Hili suala limekaa ki mtazamo wa kutafuta umaarufu, kama kweli mkuu wa mkoa ana nia ya kuwasaidia hao wanawake basi zoezi hili angeligawa kwa kutumia serikali za mtaa na sio kusema wanawake wote waende.kwake, dar ina wilaya tano, kwa.wastani kila wilaya waende wanawake 50 ina maana atakuwa na wanawake 250 wa kuwasikiliza, atawamaliza lini, au ndo watapigwa na jua/mvua/baridi na wengi wao wataondoka bila hata kusikilizwa.... Walau basi angetenga kwa wilaya, wilaya moja angeipa siku 3 , hapo tungesema ina.sound reasonable, zaidi ya hapo ni maigizo tu.

Hayo yote ameshayafanyia kazi. Msimdharau sana jamaa nae ana watu wa kumshauri.
 
Si unajua wahusika lazima waji defend coz wanajua giza linakuja.
Hahahah aisee mi sina mtoto na huwa ni mwanachama hai wa withdrawal technique. Huwa simwagi maanii ndani ya KE nisie na mpango nae wowote. Ukiona nimekumwagia ndichi ujue nipo tayari kuwa baba wa mtoto wako na hii kutokea ni mara chache mno, hadi nikupende kweli.
 
Mkuu unapingana na mamlaka??? Serikali??? Hujui mkuu wa mkoa ni serikali ???ukigoma kwenda kupima DNA utaenda kwa karandinga serikali hakuna inachokishinda.

Mkuu tambua hata kama makonda anakosea lakini ujue yeye ndiyo kashika mpini wewe umeshika makali utaumia

Naomba kuuliza sheria ipoje. He kiupimaji dna ni lazma kama mamlaka inakutaka kufanya hivyo au la? Kama ni lazma,hivi Mtume na Nabii Mwingira mbona alikataa, au mimi niliipokea sivyo hiyo taarifa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom