Nitamsaidiaje Anna?

teh teh teh, na wewe ushawahi kukutana nao mkuu??
Sana mkuu ,

Akina Anna ,Neema na Beatrice hawa nimecheza nao sana viduku yaani sikuhangaika sana wala nini

Sijui kwanini wako hivi .

Wepesi mno kutoa mzigo .
 
Kwaiyo mkuu kakusimulia kabisa? Duh hana aibu
Huwezi kufahamu uhusiano wangu na yeye ukoje, mkuu mradi ujumbe umefika mengine tuyaache, au unataka nipotee humu jukwaani?
 
Sasa mbona huyu boss demand zake ni kubwa sana.
Lakini hata wewe umekiri kuwa Boss amemsaidia sana huyo Anna. Sasa anaweza kupeleka mshahara wake wote nyumbani bila kuugusa. Kama mshahara wake ni 300ktu take home. Boss sasa anampa 1million every month hapo kuna increment ya 700k toka kwenye kipato chake halali cha 300k. hiyo ni sawa 233%!!! Hapo hatujaweka house rent fully paid maybe the house is fully furnished.
Sasa Boss kaomba kitu kimoja tu!!! Huoni hata yeye Boss anahitaji kupata value for money services?!!!
Anyway sishabikii huo ubazazi ila tu the bottomline ni shortcuts always zina gharama...
Unless kama umeongezea chumvi katika kisa hiki, lakini kama sivyo Boss claims zake ni ndogo sana.
 
Mkuu nimeileta kama ilivyo, hapa msiponiona mjue kibarua kimeota nyasi.
 
Huwezi kufahamu uhusiano wangu na yeye ukoje, mkuu mradi ujumbe umefika mengine tuyaache, au unataka nipotee humu jukwaani?
Ila aliyataka mwenyewe,vya bure vina gharama,hiyo ndo gharama yenyewe na.gari kapewa, kama amechoka mwambie aache kula vya bure atafute vya kwake vya kutolea jasho
 
Daaah pole kwa anna, huo mchezo wa nyuma ameshauanza sidhan km atakuja kuacha, atapata tabu sn akija kuolewa mume akagundua alifanyaga huo mchezo
 
Ila aliyataka mwenyewe,vya bure vina gharama,hiyo ndo gharama yenyewe na.gari kapewa, kama amechoka mwambie aache kula vya bure atafute vya kwake vya kutolea jasho
Tunatakiwa kuwafundisha watoto wetu kuwa independent tangu wakiwa wadogo. Dunia hii imejaa mabaradhuli. Ukitaka vya bure kuna gharama yake. Wakati mwingine hiyo gharama inaweza kukutoa uhai wako kam si kukudhalilisha.
 
Sky Eclat hiki kisa kinasikitisha sana. Anna yupo njiapanda ngumu familia inamtegemea yeye, kibosile kashikilia kibarua chake na maisha yake yeye yameshikiliwa na kibarua alichopewa na kibosile.


Ukitazama hivyo vitatu ni vizito zito kuliko hayo yote ni kutumika kinyume na maumbile. Ni uchafu ambao kwa Anna ameingiziwa huo mchezo wenye mtego wa kukosa yale mambo makuu matatu kama angekataa kutoa mzigo kwa kibosile.

Nina imani nawe Sky Eclat kuwa unaweza kumsaidia ili arudishe thamani yake ambayo huenda nafsini kwake ameshanza kujihisi hana thamani na pia kuacha mara moja huo mtumiko wa kinyume na maumbile.

Pole kwake sana Anna.
 
Mmmmhhhh
 
Huyo Anna kama namfahamu vile. Yaani ni mama huruma sana

In short alikuwa D then I then D then M aliko sasa.


Pole yake.
Atavuna alichopanda.
 
Huyo Anna kama namfahamu vile. Yaani ni mama huruma sana

In short alikuwa D then I then D then M aliko sasa.


Pole yake.
Atavuna alichopanda.
Mkuu basi tumalizie hapa, yanatosha kwa leo, shukrani mkuu wangu.
 
Maisha ya matawi anayoishi Anna kwa sasa ni ngumu sana kurudi kuishi kwa kulenga manati uswahilini. Hii itamfanya atumikie ngono mpaka mwisho wake ,, aachie nyumba ya ukweli, usafir was bure, mil 1 ya bure na shopping za Mara kwa Mara chaaaa!! Humwambii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…