Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 200
- Thread starter
- #21
Nenda U-turn Blog | u turn blog search mada za nyuma utapata maelekezo yote kuhusu hitaji lako. Kuna website pia ilitolewa Match.com® | The Leading Online Dating Site for Singles & Personals ambayo pia km skosei kuna monthly fees. Kasome huko utapata details. Your life your choices, your life your rules.... Kila la heri.
Suala la fees (ada) ndo linalonitatiza. How can I trust them? Nahofia kuwa naweza lipia online halafu kumbe ikawa ni FAKE website nikaliwa pesa zangu bure! Nasema hivyo coz nilishatembelea website kadhaa zikawa zinanitaka nilipe kwanza ada ili niweze kuwa na full access na hao warembo