Nitampata wapi?

daaaaaaaaaah.....
sniper kwa msako huu, asipopatikana atakuwa hayupo kwenye ulimwengu huu...
sgaga fanyia kazi ushauri wa sniper, hoping utafanikiwa...
wish u lucky
Nimejaribu kote huko kuna likizo moja nilikuwa bongo kuna kipindi fulani hivi radio one sijui kama bado kipo cha kutafutana nilipeleka tangazo langu pale ila sikupata reaction mkuu,bt thnks sna.
 
Jamani sgaga, nishaolewa nina watoto wanne, niliona kimya hata hujibu sms zangu, mara ukaanza kupiga kwa mawazo, basi nikapata mchumba
sifanyi utani hapa,naami siyo wewe najua jinsi ambavyo angereact Ester hata kama ameolewa.
 
..inaonekana mapenzi yenu yalikuwa kama ya kusadikika,huna detailz zake zakutosha na huumfahamu vizuri!pole,anza upya
 
Nimejaribu kote huko kuna likizo moja nilikuwa bongo kuna kipindi fulani hivi radio one sijui kama bado kipo cha kutafutana nilipeleka tangazo langu pale ila sikupata reaction mkuu,bt thnks sna.

Kama una rafiki yako Kahama, jaribu kumgea maelezo akupelekee pale kahama fm may be unawezapata hata mtu anayemfahamu!
 
Aisee jitahidi uende, ningekusaidia ila bahati mbaya hiyo mitaa mi sio mwenyeji!

Kipipi, kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya Jeiefu nakuomba chonde chonde umsaidie ndugu yetu madam upo maeneo hayo. Kama jamaa akifanikiwa basi nakuahidi ten pasent ya hisa za kampuni anayokusudia kuianzisha yeye na Ester...

Pliiiiiiiiz:confused:
 
Jamani sgaga, nishaolewa nina watoto wanne, niliona kimya hata hujibu sms zangu, mara ukaanza kupiga kwa mawazo, basi nikapata mchumba
ulizaa au ulijifungua wewe! khaaa, kwa maelezo ya jamaa japo hajasema sidhani kama imepita miaka sita....sasa ww watoto wanne!!au ulikuwa unabeba mimba mbili mbili...haaa haaaa... msaidie mwenzio jinsi ya kulipata hilo libarafu la uvungu wa moyo wake bana
 
Woiyee pole lakini usigive up,unezampata tu Esther
Ntakusaidia kukuulizia maeneo haya ninayoishi
 
kaka ,kwanini ulikaa muda mrefu bila ya kuwasiliana nae? bcz mm nahis kwa maelezo yako umekaa muda mrefu bila ya kumtafuta,ata kama alikua anakupenda ,lakin ungekua una keep going at least maongezi na kupeana moyo ktk mapenzi yenu ,unajua bro roho imeumbwa na sehemu, maybe aliona basi bcz ata ukumtafuta tena ,ila cha kufanya ,kama bado una feel kua na yy ,unakumbuka kwao kwa jamaa zake nenda umtafute ikiwa ni riski ya kwako utamkuta , mapenzi ni mtihani , kuna wanao bahatika na kuna ambao wana hangaika ,best of luck
 
ooh,, pole itabidi uende kwa wale watu wa karibu wanao mjua maybe utafanikiwa, pole bro,
 
ulizaa au ulijifungua wewe! khaaa, kwa maelezo ya jamaa japo hajasema sidhani kama imepita miaka sita....sasa ww watoto wanne!!au ulikuwa unabeba mimba mbili mbili...haaa haaaa... msaidie mwenzio jinsi ya kulipata hilo libarafu la uvungu wa moyo wake bana
Miaka sita inatosha kabisa kuzaa watoto wanne, yeye alinisahau bana
 
tutakusaidia kuulizia mwaya, jaribu na kwenye face book waulize vijana wenzenu wanaweza wakamjua
 
La msingi hata kama baba na mama waliachana lakini majina yao ni ya muhimu sana pia kwa shangazi yake ulikuwa hupafahamu na jina la shangazi yake ulifahamu? Pia huyo ester hakuwa na rafiki yake wa kike,pia ktk mahusiano yenu hakuwahi kukwambia wp anakopendelea kuishi jina la ukoo la wazazi wake wote wawili hulifahamu.Na hapo ndio huwa panakuwa na umuhimu saana wakati wa tunapofanya uhusiano wa kimapenzi tuwe tunaambiana majina yetu ya ukoo tusijidai wakizungu saaana.
 
Kipipi, kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya Jeiefu nakuomba chonde chonde umsaidie ndugu yetu madam upo maeneo hayo. Kama jamaa akifanikiwa basi nakuahidi ten pasent ya hisa za kampuni anayokusudia kuianzisha yeye na Ester...

Pliiiiiiiiz:confused:

Ningependa kumsaidia tena bila malipo yoyote mkuu, tatizo huo mtaa mi sio mwenyeji zaidi ya kupita tu barabarani so hata nikisema niende au nitume mtu, wapi nitaanzia my dear?? Ukizingatia jina la ukoo wala la shangazi halijui? Thats why nikampa alternative ya redio ye atoe tu maelezo ya kutosha, nadhani umenielewa mpendwa wangu!
 
duh ningekuwa ninamiliki televisheni ninge andaa kipindi maalum cha kumtafuta huyu ester

nimeguswa aisee lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom