Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Labda atumie papuchi

Kumbe shida yake ilikuwa ni kumung'owa Mnyika ubungo si angesema tu tangia mwanzo ili akaeleweka?.lakini anashilingi ngapi zitakazomwezesha ili aweze kupita kwenye kura za maoni za Ccm?.ccm hakuna mchezo mama mkono mtupu haulambwi.
 
Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.

Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kama wewe ndio unayetoa sawa,lakini kama ni kura mwambie huyo shost asahau.
 
Anatapatapa Juliana maji yameshamteremsha hadi sakafu ya bahari!!! Subiri kuliwa na papa tuu shostito.
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

Huyu binti mkorogo unamdhuru jamani
sasa unaenda kumharibu hata ubongo wake,
nahisi hata yale matamko aliyokuwa anayatoa alipotimuliwa BAVICHA yalikuwa ni athari za mkorogo huo huo
sasa kama alishindwa bosi wake kilaza Nape na Mama Ngulumbi ataweza yeye?
huyu binti anataka wampe pesa ya kampeni amalize shida zake puuuuuuuuuh!!!
haya sasa Nape kazi anayo, maana kimeo kimehamia kwao, sasa watamkoma kwa matamko
na huko akiona mfumo dume, sijui ataenda kwa Mh. Dovutwa???
mungu ameiepushia Chadema balaa hili
haya sasa tusubiri tamko kutoka kwa yule mwingine mwenye kura elfu 32 za mbozi alizopata 2010.
 
Katika maisha yetu, jazba ikibeba dhana ya kufanya maamuzi, unaonekana kituko!!! Angeonekana mwenye busara kama angetulia hadi wakati ufike.
Tafsiri yangu ni kwamba anajaribu kupooza yaliyomkuta. Na anaonekana kuwa na msongo wa mawazo sana.

Dadangu nakushauri kuwa maisha bila siasa yanawezekana ila inategemea jinsi unayo handle mambo yako. Kupokelewa kama "oil chafu" huko CCM haina maana kuwa ndo umeshafanikiwa kisiasa. Nape anaijua "oil chafu" vizuri sana. Itakuchukua muda sana kuifaham CCM na tutakuwa tumefika 2015 hadi utakapoifaham kinagaubaga! Muulize Nape anaijua vizuri na anatambua kuwa CCM ina wenyewe, na wenyewe sio hao waliokupokea kule Dodoma. Btw, nakutakia heri kwenye maisha mapya nje ya CDM na ndani ya CCM!!!
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

Mnyika naunga mkono kauli yako braza. "Kwanza aombe Mungu apitishwe na CCM"! Chama kina wenyewe, and I think, it's the begining of her end to political rally.
 
nimegundua kuwa wengi mnaochangia humu hamuishi vijijini.kilichoko huku vijijini,hususan huku mtwara,ni siyo tu ccm wanachukiwa tu,isipokuwa hawawezi kuitisha mikutano ya hadhara.wakiitisha ama watazomewa au kupigwa mawe na wachache waliohudhuria.kuna wabunge wengi sana wa ccm ambao hawatasimama kuomba kura mwaka 2015 kwa kuogopa kuvamiwa.mingi ya mikutano ya kampeni ya ccm wakati huto haitakuwa ya amani.ni ya vyama vingine ndiyo itatulia.juliana asifikirie kugombea ubunge ubungo,ataumia.pia watu wanasema ccm kuna watu maalum wa kugombea ubungo.si kweli.ubungo hakutakuwa na ushindan mkubwa kwa upande wa ccm.nani anataka kuaibika na kupoteza pesa yake bure.hata mimi singependa kujilipua kwa mnyika
 
Kabinti kameanzisha New Topic kanasema hakagombei ila katamuunga mkono mgombea yeyote wa CCMwabwepande. Kamesoma upepo unakoelekea siko kataumia bure....
 
Nadhan Shonza ataishia kuuza UcHI tu na nafas ya ubunge haitoipata;chezea CCM ww;kura za maoni tu anachinjwa labda c magamba
 
Anaweza Kupitishwa kwa sababu 'chujio la Tawala' ni tofauti na machujio tuliyozoea. Lile la tawala 'taabu/shida yake inapitisha mara nyingi inapitisha mabaya wakati mazuri inayaacha'.
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

Tunamtakila kila la kheri kwenye hicho chama anachodhani kinamfumo jike.
 
afadhali ameondoka kabla ya kujua lolote, huyu alikuwa mchwa kabisa. Njaa imemponza, akawaulize Lamwai, Bagenda, Dk Kaburuuuuu, huyu dada akiona kichaka mav.....na
 
Huyu mbona anakuja vibaya hivyo??? Anafikiri CCM unajiamulia tu ugombee wapi na unapita kama ilivyo CDM? CCM kuna demokrasia ya kweli, kuna mchakato wa kumpata mgombea, hamna udicteta wa CDM wa Mbowe au Slaa wa kuamua nani agombee wapi!!!!
Vua gamba? Nyoka mwenye ndimi2? 2010_13 katibu mkuu?
 
Thubutuuuu ! mwenzie nape alitoka mbio mapemaaa... Kweli njaa ni kitu kibaya sana. Huyu dada wamuangalie sana,nadhani anamatatizo ya kisaikolojia na haamini kama yuko hai. Tumpe mwaka mmoja ndo tuanze kuzipima kauli zake maana sasa anatamka lolote ili wafadhili wamuone ni mwenzao !
 
Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.

Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kha! ujumbe huu kwa blacknerry! Yakichina na ujumbe wa kichina!
 
Hivi kubwabwaja ndio kumtingisha mtu? kwa mtu makini na unayejuwa kureson Mnyika siyo one term parliament Member. take it or leave it.

Hili wala halihitaji ushabiki wapo wabunge wa Chadema ambao wanaoweza kuangushwa 2015 lakini siyo Mnyika, pale hata asimame JK hana uwezo wa kumshinda Mnyika.

Wewe kama ni sehemu ya washauri wa Nape naomba msipotoshe mwenzenu akapata gharama zisizo na tija. hata kilimo sasa ni biashara nzuri tu unaweza kununuwa matrekta na ukainvest huko ukapa clean income, lakini siyo kwenda kuwaomba kura wananchi ambao wanakuona wewe ni sehemu ya shida zao wanazozipata.

Mkuu sina uhusiano na Nape na sijawahi kuonana nae ana kwa ana. My point was that CCM lazima watasimamisha mtu kugombea jimbo la Ubungo na mtu huyo kwa uhakika sio Juliana Shonza. kwa kuangalia wagombea wa CCM jimbo la ubungo ndoo nikaona walau Nape.
Nape mimi na wewe hatumkubali kwasababu tunatumia hoja kama kigezo kikuu ( Tunajiuliza who is Nape? Hivi amefanya nini chenye mashiko zaidi ya kelele zake zisizofuata protocally wala utofauti wa chama na serikali, ana nini cha kuonesha? Msemaji tu lakini kuandika hataki zaidi ya hoja za paragraph moja hapa JF) lakini wapiga kura kaka, kuna wanaongalia sura, kuna wanaongalia dini, kuna wale undecided voters wanaotegemea tukio la mhimu just before the election. Ukitumia vigezo kama kigezo kupima wagombea kwa CCM ya leo jimbo la ubungo hakuna wa kugombea na Mnyika.
 
Back
Top Bottom