tatizo hukuwa na mipaka mkuu yaan cku ya kwanza alipokuomba ushauri kwamba ana hisia za hayo mambo ungempga stop kukwambia hizo habar asingeerudia tena....kwa umri wa miaka 26 huyo ni mtu mzima na anajua anachofanya na naamin hio ilikua ni style yake ya kukuteka mawazo yako na hapo ameshanza fanikiwa..kuwa makin bro usije haribu ndoa yako na familia yako utawasumbua sana watoto pia unawezapoteza focus kwe maisha..be careWana Jf,
Naishi na mke na watoto wawili wadogo, mimi na mke wangu sote ni wafanyakazi. Mke wangu ni mwalimu nami nafanya kazi za marketing.
Mie huwa nawahi toka job mapema kwa kazi ya field huwa namaliza mapema kulingana na ratiba ya siku, wife anatoka job saa kumi na mbili jioni.
Nyumbani niko na dada wa kazi mwenye umri wa miaka 26, dada huyu anamazoea sana nami kiasi kwamba hata udiriki kuniomba ushauri pale anapokuwa na hisia za mapenzi afanye nini kwani anawaogopa wanaume eti hajawazoea kama alivyo nizoea mimi.
Kidogo kidogo najikuta naanza kumtamani huyu dada, naye nahisi kama kajua namtamani, sijui nifanye nini nafikiria kumrudisha kwao ila siwezi kwani hakuna wakukaa na watoto.
Naombeni maujanja jamani nifanye nini.
Hili nalo la kuomba ushauri. Wababa wa sikuhizi kweli majangaWana Jf,

thubutu hii ya kumwambia mkeo uone moto wake......Hii itasaidia nahisi
Umeuliza swali makini sana Boniface, hakutakiwa kuruhusu mazungumzo kama hayo. Aweke mipaka ili heshima irudi. Haina hata haja ya kumueleza mkeo maana bado hujashindwa kumthibiti sema unamwendekeza huyo mdada wa kazi.Na. Wewe kwann unaruhusu mazungumzo ya namna hyo naye jarbu kuweka mipaka
miaka 28 unasema ni so young,your kidding miss!your so young and innocent yaani! mpaka nimekuonea huruma yaani