mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,930
Mkuu mtooo.......mbez tuu kwani yye c uongo anadai yupo afraid of madume bhana
Hakuna ujanja hapo zaidi ya wewe kusimama kama baba. unasumbuliwa na tamaa ya ngono tu na wote ibilisi anawanyemelea mlangoni mwa mioyo yenuWana Jf,
Naishi na mke na watoto wawili wadogo, mimi na mke wangu sote ni wafanyakazi. Mke wangu ni mwalimu nami nafanya kazi za marketing.
Mie huwa nawahi toka job mapema kwa kazi ya field huwa namaliza mapema kulingana na ratiba ya siku, wife anatoka job saa kumi na mbili jioni.
Nyumbani niko na dada wa kazi mwenye umri wa miaka 26, dada huyu anamazoea sana nami kiasi kwamba hata udiriki kuniomba ushauri pale anapokuwa na hisia za mapenzi afanye nini kwani anawaogopa wanaume eti hajawazoea kama alivyo nizoea mimi.
Kidogo kidogo najikuta naanza kumtamani huyu dada, naye nahisi kama kajua namtamani, sijui nifanye nini nafikiria kumrudisha kwao ila siwezi kwani hakuna wakukaa na watoto.
Naombeni maujanja jamani nifanye nini.
Umeuliza swali makini sana Boniface, hakutakiwa kuruhusu mazungumzo kama hayo. Aweke mipaka ili heshima irudi. Haina hata haja ya kumueleza mkeo maana bado hujashindwa kumthibiti sema unamwendekeza huyo mdada wa kazi.
Itabidi nibadiri ratiba ya kurudi home,Ndio matatizo ya kushinda home muda mwingi! Mkuu ndio maana kuna bar, groceries, pool tables, kanisani, sports clubs and the likes! Vitumie uepuke hayo matatizo!
Du, pastor unanitisha!tamaa ikitunga mimba huzaa dhambi nayo dhambi ikishakomaa huzaa mauti....mauti ya mwili na roho
bila kusahau anatumia jina lake kabisa akiwa kaweka na picha yake mke wake ana miaka 28 hg 26 kabooomMwalim, watoto wawil unafanya marketing ombea mke wako asipite huku
Nishasema huku hakujii....bila kusahau anatumia jina lake kabisa akiwa kaweka na picha yake mke wake ana miaka 28 hg 26 kabooom
No watoto ntamwachia nani sote tunaenda kazini