hapo mkuu una majaribu makubwa.
hapo mkuu una majaribu makubwa.
Wewe utakuwa unajirudisha nyumbani mapema maksudi! Hata ukirudi mapema ingia ndani, salimia, hakikisha kuwa watoto wako salama, oga if you like, then ka chill mahali outside mpaka wife akirudi na si kuanza kuangalia tamthilia na housegirl. Never sleep with the help!Wana Jf.
Naishi na mke na watoto wawili wadogo, mie na mke wangu sote ni wafanyakazi.
Mke wangu ni mwalimu nami nafanya kazi za marketing.
Mie huwa nawahi toka job mapema kwa kazi ya field huwa namaliza mapema kulinga na ratiba ya siku, wife anatoka job saa kumi na mbili jioni.
Nyumbani niko na dada wa kazi mwenye umri wa miaka 26, dada huyu anamazoea sana nami kiasi kwamba hata udiriki kuniomba ushauri pale anapokuwa na hisia za mapenzi afanye nini kwani anawaogopa wanaume eti hajawazoea kama alivyo nizoea mimi.
Kidogo kidogo najikuta naanza kumtamani huyu dada,
Nae nahisi kama kajua namtamani, sijui nifanye nini nafikilia kumrudisha kwao ila siwezi kwani hakuna wakukaa na watoto.
Naombeni maujanja jamani nifanye nini.
utawasha moto balaa, usimwambie mkeo.Hii itasaidia nahisi
Wana Jf,
Naishi na mke na watoto wawili wadogo, mimi na mke wangu sote ni wafanyaka
zi. Mke wangu ni mw
alimu nami nafanya kazi za marketing.
Mie huwa nawahi toka job mapema kwa kazi ya field huwa namaliza mapema
kulingana na ratiba ya siku, wife anatoka job saa kumi na mbili jioni.
Muulize mkeo
Nyumbani niko na dada wa kazi mwenye umri wa miaka 26, dada huyu anamazoea sana nami kiasi kwamba hata udiriki kuniomba ushauri pale anapokuwa na hisia za mapenzi afanye nini kwani anawaogopa wanaume eti hajawazoea kama alivyo nizoea mimi.
Kidogo kidogo najikuta naanza kumtamani huyu dada, naye nahisi kama kajua namtamani, sijui nifanye nini nafikiria kumrudisha kwao ila siwezi kwani hakuna wakukaa na watoto.
Naombeni maujanja jamani nifanye nini.
Muulize mkeo utapata jibu sahihiNo watoto ntamwachia nani sote tunaenda kazini
hadi picha yake kaiweka nadhan hadi jina analotumia jf ni lauhalisia kazi kwelikweli!!!Mwalim, watoto wawil unafanya marketing ombea mke wako asipite huku
Kwani Huyo ulimpataje hadi usindwe kumpata house girl mwingine? Kiufupi Huyo dada anataka kuchukua nafasi ya mama mwenye nyumba! Naiona hali ya maisha ya mkeo kuwa hatarini siku si nyingi, watu kama hawa hawashindwi kitu hasa wanapotaka kitu kwa mtu aliyedhibitiwa! We mrudishe kwao Huyo dada otherwise subiri maafaNo watoto ntamwachia nani sote tunaenda kazini
Kuna wanaume wengine bado wana hali za kivulana! Wavulana ndio wenye sifa za kuonea huruma kila mtu bila kujali atamuumiza vipi mtu wa karibu yakeHaya mambo mengine ni ya kujitakia halafu mwisho wa ck useme shetani alikupitia wakati umemwita ww mwenyewe. Hivi unawezaje kukaa krb na msichana wa kz mpk Anakuomba ya ushauri wa mapenzi na ww unakaa kusikiliza meno yote nje wala huonyeshi kujali ww ni nani katika familia. Tubadilike tuache kujivunjia heshima kijinga hivyo alafu unatuambia humu eti mpk yy kajua km nampenda sasa hiyo ni sifa au upumbavu na ungekuwa krb ningekuzaba makofi
mimi wangua naishirini na tisa.. hata kumuagiza sa zingine naogopaMmmh! Maisha haya!
Miaka 26 bado housegirl