Nitamkwepaje huyu msichana wa kazi?

Nitamkwepaje huyu msichana wa kazi?

Mkuu unavyo mjali na kuongea naye ndivyo anavyo wafanya watoto wako sasa jitahidi kama utafanya maamuzi ya kumbadilisha ufanye kwa ustarabu na haraka ukimpa muda mrefu watoto watapata tabu cku za mwsho mwsho

Pili ucmwambie mkeo wanawake hawana uvumilivu ata mtukana au kumpiga

Tatu ongea naye kwanza mwambie wanaume watu wazuri tu atafute mmoja mwaminifu jitahid usi mgegede utaaribu familia yako
 
Back
Top Bottom