Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
So what should I do
Save the other brotha by taking your chic back.
So what should I do
Save the other brotha by taking your chic back.
Was she really his!???
Umeniudhi sana kwenye matumizi c badala ya s ..Habari zenu JF
Nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana. Na yeye ndo alionesha kunipenda zaidi.. Alikuwa mckivu sana na mvumilivu pia..Ilifikia wakati hawezi hata kumckiliza hata mama yake ikiwa ni kwa ajili ya kutetea penzi letu.Sio siri mimi nilijivuna kwa kupendwa kiasi kile.
Nilianza kuhisi kuwa Hawezi kuniacha kwa lolote lile.. Hata nikimuudhi kiasi gani nilijua atanisamehe tu.. Kwa mapenzi yale...Sasa nikaanza kuwa huru kupitiliza.. Nikawa si hofii tena kwa na mchepuko. Nilianzisha mahusiano na msichana wengine akiwa anajua nina mpenzi kabla yake.
Mwanzoni tuli-date kwa siri ila baadae mchepuko alianza kuona kuwa yeye Ndio anayenistahili mimi zaidi.. Basi alianza kufanya harakati za kuvunja mahusiano aliyoyakuta.. Alimtumia picha nilizopiganae.. Na hata videos tulizojirecord na txt za hapa na pale hadi alifanikiwa kupoteza mapenzi ya yule mpenzi wangu..aliniacha akaenda zake
Sasa huku nyuma nikabaki na huyu pasua kichwa.. Nilijionea tabia chafu zote niliwahi kuzickia na ambazo ckuwahi kuzickia. Mbaya zaidi tulipima afya ila bahati mbaya alikuwa ameathirika.. Na bahat nzuri kwangu ni kwamba ckuwa nimeambukizwa. Niliamua kumuacha na kurudi kuomba msamaha kwa kipenzi changu cha zamani.
Ila kwa bahati mbaya ameshachumbiwa tayari na utambulisho pia. Ila bado anasema ananipenda sana. Yupo tayari hata kuvunja uchumba na kurudi kwangu tena maana asema mimi ndio ndoto yake
Nipo njia panda ndugu zangu. Nashindwa kukubaliana na maoni yake ila moyo wangu bado unampenda sana pamoja na wivu mwingi
Du nimechekafirauni bin kudushi maruhani wa pink
kuvunja uchumba ni simpo but kurudisha pendo ni mzikiHv inauzito gani kuvunja uchumba?
Inaumaa sana aiseeKama ulimzingua, ila bado yuko tayari kuvunja uchumba na kurudi kwako, then mnastahili kuwa pamoja. Wote nyie ni wabinafsi.