kagwima
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,310
- 1,672
Ha ha ha ha ha hili ni zaidi ya suluhishonipe namba ya huyo dada
Ha ha ha ha ha hili ni zaidi ya suluhishonipe namba ya huyo dada
LOW IQHii umeipost kimakosa au?? mbona haiendana na maada tajwa hapo??
Ok Ok ni Kweli sukari inapatikana Ila kwa bei ya juu kidogo tofauti na chumvi ambayo ina kazi nyingi sana Ila inapatikana kwa foleni maana hata mimea nayo imegoma kuzalisha chumvi. Hata kwenye kupiga kura jina lake lilikosewa Ila Alipiga kwa Leseni ya gari na kura yake ikaharibika.
Sio kosa lake Ila salary ilichelewa kutoka na watumishi hewa wakageuka kuwa Mvua. Naamini kwa sera hii ya kuiba vifaru itasaidia kuongeza ajira na kubambikiana kesi za kijinga.
Bora wewe umeamua kuachana na hadithi za wavulana.Kwao wao kupenda na kupendwa wanaona ni vitu vya kutuletea wanaume tujadili.Ok Ok ni Kweli sukari inapatikana Ila kwa bei ya juu kidogo tofauti na chumvi ambayo ina kazi nyingi sana Ila inapatikana kwa foleni maana hata mimea nayo imegoma kuzalisha chumvi. Hata kwenye kupiga kura jina lake lilikosewa Ila Alipiga kwa Leseni ya gari na kura yake ikaharibika.
Sio kosa lake Ila salary ilichelewa kutoka na watumishi hewa wakageuka kuwa Mvua. Naamini kwa sera hii ya kuiba vifaru itasaidia kuongeza ajira na kubambikiana kesi za kijinga.
anaetaka kuolewaYupi huyo