Dawa ni kuingia, tena baada ya hapo ni kuwashawishi wabunge wa tiketi ya CCM kukubali hoja za ukweli, Wabunge wengi tu wa CCM hawapendi ujinga unaoendelea ila tu hawana ujasiri.
wakipata watu wakukaa mbele hoja za muhimu huwa zinapita tu.
Wasigome kama wananchi wenzetu waliogoma kupiga kura wakijua ukweli kuwa hata wafanyeje lazima CCM ishinde kwa kutumia dola.
Itafika muda wa kutumia silaha ya kugoma baadhi ya vitu, ila maoni yangu watu wasigome kuingia bungeni, tena waape kabisaaaa kuilinda katiba ya sasa, na rais uyu huyu.
Baadae kazi kubwa waliotumwana sie, na mzigo waliobebeshwa na sie waanze kutumia njia za busara, hoja, diplomasia, ushawishi kuzifikia.