Elections 2010 Nitalia na wabunge wa chadema

Kahema

JF-Expert Member
May 21, 2010
202
43
imeandikwa' yeyote anayeunga mkono ugaidi naye pia ni gaidi' kitendo cha ccm kuiba haki ya watu ni zaidi ya ugaidi. lakini kwa kuwa wabunge wa chadema wameishasema kura za wananchi zimeibiwa na hivyo uchaguzi haukua wa huru na haki, nitashangaa kama watakubali kuingia bungeni wakati wakijua sisi wananchi tulio wachagua atusupport ugaidi/wizi.
 
imeandikwa' yeyote anayeunga mkono ugaidi naye pia ni gaidi' kitendo cha ccm kuiba haki ya watu ni zaidi ya ugaidi. lakini kwa kuwa wabunge wa chadema wameishasema kura za wananchi zimeibiwa na hivyo uchaguzi haukua wa huru na haki, nitashangaa kama watakubali kuingia bungeni wakati wakijua sisi wananchi tulio wachagua atusupport ugaidi/wizi.

Tena hapo ndipo CHADEMA itakuwa imejimaliza itaonekana nia yao ilikuwa madaraka ya kwa nguvu na mtakuwa mmedhulumu haki ya raia wenu walio wachagua.
 
imeandikwa' yeyote anayeunga mkono ugaidi naye pia ni gaidi' kitendo cha ccm kuiba haki ya watu ni zaidi ya ugaidi. Lakini kwa kuwa wabunge wa chadema wameishasema kura za wananchi zimeibiwa na hivyo uchaguzi haukua wa huru na haki, nitashangaa kama watakubali kuingia bungeni wakati wakijua sisi wananchi tulio wachagua atusupport ugaidi/wizi.[/size]


yaani ukisusa hawa mafisadi ndio wanafurahi. Ni vyema wabunge wakafanye lile wananchi walilowatuma. Wananchi ambao hawakupiga kura ukiwauliza wanansema kuwa hawakujitokeza kwa kuwa walijua kura zitaibiwa tuu. Sasa kwa mawazo kama ya kwakao hauoni kuwa unataka kuwaachia ukumbi ccm wajilie raslimali za taiafa hili bila kuogopa hata kidogo. Tutabanana nao hadi kieleweke!!!!!!!
 
icon1.gif
Nitalia na wabunge wa chadema


imeandikwa' yeyote anayeunga mkono ugaidi naye pia ni gaidi' kitendo cha ccm kuiba haki ya watu ni zaidi ya ugaidi. lakini kwa kuwa wabunge wa chadema wameishasema kura za wananchi zimeibiwa na hivyo uchaguzi haukua wa huru na haki, nitashangaa kama watakubali kuingia bungeni wakati wakijua sisi wananchi tulio wachagua atusupport ugaidi/wizi.sasa kama umewachagua kwanini wasiende bungeni, kwani aliyeshindwa c aliyetaka ikulu na sio bunge?
 
Kususa kuingia bungeni si njia pekee au utatuzi wa mwisho wa kupingana na ugaidi(kama ulivyochagua kuiita hali hiyo).

Kuna namna nyingi tu za kupambana na wizi wa kura, lakini mahakama ndiyo chombo neutral ambacho tunaamini kinaweza kutoa maamuzi yenye afya kuhusiana na jambo hilo.
Tusisahau kuwa bunge si la ccm, ni la wananchi, hivyo kukataa kuingia ni kuwasaliti wananchi wliokuchagua...ni sawa na baba anayeamua kususa nyumba yake kisa kapishana lugha na mama...Unaingia hukohuko na kukomaa nao...why skeptism bana!
 
dawa sio kutoingia bungeni bali ni kuingia bungeni na mikakati na kupata suluhu ya mianya ya ufisadi kupitia sheria, muswada wa mbunge binafsi kuhsu marekebisho ya sheria mbalimbali. hii itakuwa moja na dawa muhimu na sio vinginevyo
 
Dawa ni kuingia, tena baada ya hapo ni kuwashawishi wabunge wa tiketi ya CCM kukubali hoja za ukweli, Wabunge wengi tu wa CCM hawapendi ujinga unaoendelea ila tu hawana ujasiri.
wakipata watu wakukaa mbele hoja za muhimu huwa zinapita tu.
Wasigome kama wananchi wenzetu waliogoma kupiga kura wakijua ukweli kuwa hata wafanyeje lazima CCM ishinde kwa kutumia dola.

Itafika muda wa kutumia silaha ya kugoma baadhi ya vitu, ila maoni yangu watu wasigome kuingia bungeni, tena waape kabisaaaa kuilinda katiba ya sasa, na rais uyu huyu.
Baadae kazi kubwa waliotumwana sie, na mzigo waliobebeshwa na sie waanze kutumia njia za busara, hoja, diplomasia, ushawishi kuzifikia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom