Muhimu ni kumkalisha kitako na kumfunza maisha yalivyo na namna ya kujiepusha na vishawishi ili aweze kujitunza.kumuweka hicho kijiti sio solution kabisa
vijiti usijaribu! please dont do it please! kuna wasichana walitumia baadaye walipata continous breeding! achilia mbali kuathri mfumo mzima wa uzazi kwa mwanao bado mdogo! jitahidi kumueleza taratibu madhara ya ngono ikishindikana kuwa tayari kwa mjukuu na usiwe na hofu hata akizaa atasoma tena zote ni hatua hakuna litakalo haribika jipange jinsi ya kumsaidia kuliko kumjengea hofu ya kuwa atapata mimba na ikiwezekana usiwe mkali unapo mwelekeza na uwe tayari kumpa mifano mingi ya matatizo ya ngono utotoni
we sasa unataka kumwaribu mwanao mwnyw kabla watu hawajaharibu..hiv wajua faida na hasara za hivyo vijit?kwakuwa wewe ni mzaz nenda kwenye uzaz wa mpango kawaambie hili usikie watakavyokuambia
hapana usifanye hivyo... Kuwa na mazoea ya kuongea na mwanao, muelimishe, mpe madhara ya mapenzi utotoni....kuwa nae karibu kama rafiki...akikuuliza maswali usijibu kwa ukali kuwa kajifunza wapi bali mjibu kiupooe huku ukimtahadharisha asijaribu.....
Mh watoto wa siku hizi wanaanza mambo ya kikubwa mapema... All in all vijiti sio solution..
Kaa na mzazi mwenzako muongee nae. Ikiwezekana apate councelling..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.