Nitakuwa nakosea?

Mi huwa nawahurumia wanaojikuta wameingia kwenye ndoa na watu wa aina hii..
Kitu kidogo tu anakuacha
hawawexi kuvumilia changamoto za mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi huwa nawahurumia wanaojikuta wameingia kwenye ndoa na watu wa aina hii..
Kitu kidogo tu anakuacha
hawawexi kuvumilia changamoto za mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana kuna usemi tafuta mwanaume (mtu anayejua maisha na changamoto za kijinsia n.k);sasa ukiendelea kuangaika na wavulana lazima hayo matatizo yawepo.Mwanaume anatunza siri ya mkewe na mwanamke anatunza siri ya mumewe,na wote wanaishi kwa furaha bila kujali upungufu wa mwenzake.
 
Siku zote chagua mnayeendana ata kama anakasoro ila chagua utakayeisi ni sahihi kwako ila usimsamehe aliyekuacha kwenye matatizo au msamaha wako usiwe wa kurudiana labda uwe wa kutimiza ahadi ya Mungu samehee lakini usisahau ila kikubwa tumia akili katika kumchagua mwenza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…