Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Kwanini usifunguke na yanayopelekea kukutamkia kukuua? Kwani enzi za uchumba aliwahi kukutamkia au ndo upeke peke wetu mashababi wa kiume ambapo mnatafuta justification tu hapa!
Hiyo imekuwa ni kauli ya mke wangu,niliyezaa naemtoto mmoja,ambaye ana umri wa miezi 9.Kauli hiyo amekuwa akiitoa mara kwa mara hasa kunapotokea ungomvi(mara nyingi unatokana na wivu mwingi alo nao) wa aina yeyote ile unaopelekea kupigana.
Hayo maneno ya kuwa ipo siku ataniua ,nimekuwa nikijiuliza sana,endapo anamaanisha au ni hasira tu!!Kila nikitafakali na kuangalia mwenendo wake na tabia yake, nashindwa kuelewa km ni kweli hilo suala lipo kichwani mwake kwa maana ipo siku atalitekeleza ua la!!.ni miaka 3 imepita tangu tuanze maisha na huyu mke wangu.
Suala hili nalileta kwenu JF MEMBERS,mnipe walau mwanga wa nini nifanye juu ya hii kauli ya mke wangu.
Natanguliza shukrani kwa mchango wenu wadau.
Pole sana mkuu. Kwakweli anaposema atakuua basi huwa anamaanisha ila ni hasira za muda mfupi baadae huisha. Mwanamke mwenye wivu kuua au kujiuwa mwenyewe haoni shida, cha msingi ujaribu kupunguza maongezi na wanawake anaohisi wanamuibia, wasitume msg kwenye simu, na kama ikitokea akiona ujumbe wa ajabu basi ongea nae kwa utaratibu kabisa na kumuonyesha kwamba huyo mwanamke hamna uhusiano wowote. Lakini jaribu kuwa nae karibu mpe maneno mazuri, n.k. Nafahamu uko katika hali gani mkuu, lakini kuwa na busara taratibu utaweza kuituliza hali hiyo, namalizia kwa kukupa pole nyengine mkuu....Hiyo imekuwa ni kauli ya mke wangu,niliyezaa naemtoto mmoja,ambaye ana umri wa miezi 9.Kauli hiyo amekuwa akiitoa mara kwa mara hasa kunapotokea ungomvi(mara nyingi unatokana na wivu mwingi alo nao) wa aina yeyote ile unaopelekea kupigana.
Hayo maneno ya kuwa ipo siku ataniua ,nimekuwa nikijiuliza sana,endapo anamaanisha au ni hasira tu!!Kila nikitafakali na kuangalia mwenendo wake na tabia yake, nashindwa kuelewa km ni kweli hilo suala lipo kichwani mwake kwa maana ipo siku atalitekeleza ua la!!.ni miaka 3 imepita tangu tuanze maisha na huyu mke wangu.
Suala hili nalileta kwenu JF MEMBERS,mnipe walau mwanga wa nini nifanye juu ya hii kauli ya mke wangu.
Natanguliza shukrani kwa mchango wenu wadau.
Umeongea vizuri sana mkuu ila hilo la kumripoti polisi sio zuri kwa sababu polisi watakuharas na watapendekeza labda wamuweke ndani japo sikumoja itakua shida kwako pia mkeo ataona huna shada nae tena ndio ukaamua kutembea na mademu wengine (hata kama hauna dem) ndio maana hujali hata akifungwa maisha blaa blaaa tele..Ushauri wangu....kwanza tujue wivu wake umeanza lini? Na kwa nini awe na wivu wa hali ya juu kiasi hicho? Je, kuna viashiria vyoyote alivyoviona au kuhisi unacheat au anefuma vitu vinavyomthibitishia kuwa unacheat? Km ndivyo yawezekana alikuweka moyoni sana kiasi haamini km kweli you did it na imemaffect psychologically..
Km ni vivu tu wa kijinga basi pia kuna tatizo, lazima uchukue hatua za haraka na za tahadhari pia, mtu kutamka zaidi ya mara moja NTAKUUA means akitamkacho ndicho kilichojaza moyo wake.
Cha kufanya ripoti polisi ili kuwe na taarifa prior, pili anahitaji psychotherapy huyo fanya utaratibu wa kumtafutia a good psychologist au counselor apate psycho treatment na tatu jaribu kuwa akribu naye, onyesha upendo wako ule wa awali, mtengenezee mazingira ya kuiondoa fear aliyonayo kuwa una wengine, yoko insecure na anashindwa ku handle the situatin.
Huo ni ushauri mdogo that kwangu naona waeza kusaida. Pole sana michosho
Usiwe unalala fofofo, atakuchoma kisu cha kifua na akishindwa hilo atakuwekea sumu kwenye msosi.
Usije ukasema hatujakuonya.
Umeongea vizuri sana mkuu ila hilo la kumripoti polisi sio zuri kwa sababu polisi watakuharas na watapendekeza labda wamuweke ndani japo sikumoja itakua shida kwako pia mkeo ataona huna shada nae tena ndio ukaamua kutembea na mademu wengine (hata kama hauna dem) ndio maana hujali hata akifungwa maisha blaa blaaa tele..
Inabidi avute subira na afuate ushauri wako uliompa....
maneno huumba..chukua hatua