Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
huyo sio mke tena, anaishi na bomu ndani asubili kulipukiwa
bibie hakuna action ambayo inaweza kumpelekea mke kumbwambia mumewe au mume kumwambia mkewe kuwa nitakuua, hakuna:yell: