nitakupeleka kwa mkopo

mkudeson

Senior Member
Nov 24, 2011
104
16
uswahilini kwetu kulikuwa na malumbano kati ya mume na mkewe. Mara tukasikia; "jinsi kiwango chako kilivyoporomoka, nafikiria kukupeleka kokote walau ukacheze kwa mkopo ili gemu lako la hapa kitandani lirudi kama zamani". wote tukashtuka ni wapi huko!?????
 
Back
Top Bottom