Nitakupa namba yangu siku nyingine

Sasa ukishampa mahala pa kuandika email akakwambia hana email hapo amejiingiza kingi mwenyewe .wewe mwambie "basi hata namba yako ya simu si mbaya unaweza ukaandika kama hutajali" ataandika tu kwa sababu ulishamuwekea mazingira kuwa huhitaji namba yake ya simu ila kwa vile hana email basi umelazimika kuchukua namba yake ya simu

mna mikakati nyie kaaaah
 
me kuna mkaka aliomba simu ampe taarifa mwenyeji wake kua kafika ya kwake eti imekata chaji kumbe uongo si ndio akajibip then akapiga kwa rafiki hewa akashuka kumbe kashainasa, hamshindwagi nyie khaaaah
 
Unakutana na sister du kwenye daladala, bank, cofee shop au popote pale baada ya kufahamiana wakati mnaagana unamuomba namba ya simu anakujibu ''nitakupa siku nyingine'', unamwambia siku nyingine tutaonana vipi anasema ''kama tulivyoonana leo'', ukimwambia si ungenipa leo ili kuonana hiyo siku nyingine iwe rahisi anajibu ''huwa sitoai namba yangu siku ya kwanza''........ Does it make sense? We tumeonana tu Kariakoo huko umekuja Dar kwa bahati mbaya kesho yake inabidi urudi kwenu Mtwara lakini nakuomba namba ya simu unaniambia kuwa huwezi kutoa namba yako ya simu mpaka siku nyingine unaakili wewe? Tutaonana vipi hiyo siku nyingine?[/QUOTE]
Heh! Unashangaza hasa!!
Wewe nani hasa umlazimishe akupe namba yake? Tena unamtoa akili kabisa wakati wewe ndio usiye na akili.
Kama unataka kujaza phone book yako jaza namba za bajaji bwana usisumbue watu!!
Eti tutaonana vipi hiyo siku nyingine,kwani lazima muonane tena?
Usijilazimishie umuhimu usiokuwa nao!!!!

Nakushukuru mamie
 
teh....mawe yamekupata...kajiuguze mkuu.....namba za watu za nini na wewe....
 
Mkuu pole sana .siku zote katika kutafuta kuna matokeo mawili;kupata au kukosa.hivyo siku zote unapotafuta demu jiandae kisaikolojia kupata au kukosa maisha yatakuwa bomba tu.
 
Back
Top Bottom