Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Feb 19, 2017 #81 Shemtibuko said: Mkuu hili ni kosa kisheria, unastahili ban. Click to expand... Sawa karibu uni ban mkuu
Shemtibuko said: Mkuu hili ni kosa kisheria, unastahili ban. Click to expand... Sawa karibu uni ban mkuu
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Feb 19, 2017 #82 Lakini ban niliyopigwa mimi ni ya kipekee bado naruhusiwa kuchangia
wambura marwa JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 2,171 Reaction score 1,129 Feb 19, 2017 #83 Nifah said: Asikupotoshe,sijawahi kumtumia picha zangu kabisa. Sijui watu wengine wakoje! Wapo wengine huwa wanadanganya wananijua,nikiambiwa wanavyonielezea naishia tu kucheka. JF hii hatari sana Click to expand... Mzoea udalali duka haliwezi Mdomo jumba la maneno Wacha waseme usiku watalala Mpe wako muhibu, mapenzi ayahutubu.
Nifah said: Asikupotoshe,sijawahi kumtumia picha zangu kabisa. Sijui watu wengine wakoje! Wapo wengine huwa wanadanganya wananijua,nikiambiwa wanavyonielezea naishia tu kucheka. JF hii hatari sana Click to expand... Mzoea udalali duka haliwezi Mdomo jumba la maneno Wacha waseme usiku watalala Mpe wako muhibu, mapenzi ayahutubu.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 19, 2017 #84 wambura marwa said: Free at last Click to expand... Am grateful
Shemtibuko JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 728 Reaction score 1,014 Feb 19, 2017 #85 Raphael wa Ureno said: Sawa karibu uni ban mkuu Click to expand... subiri kidogo watakuona tu askari kanzu wa humu.
Raphael wa Ureno said: Sawa karibu uni ban mkuu Click to expand... subiri kidogo watakuona tu askari kanzu wa humu.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 19, 2017 #86 Shemtibuko said: Mkuu hili ni kosa kisheria, unastahili ban. Click to expand... Alifanya kosa kubwa sana,bahati yake. Hata hivyo nimeshamsamehe,asamehewe.
Shemtibuko said: Mkuu hili ni kosa kisheria, unastahili ban. Click to expand... Alifanya kosa kubwa sana,bahati yake. Hata hivyo nimeshamsamehe,asamehewe.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 19, 2017 #87 Kiahjr said: Dah kweli yawalimwengu kwa walimwengu.... Mbna nifah hana shida kwann ufurahi yeye kuwa banned... Roho kubwa Click to expand... Siwezi kupendwa na wote mkuu,hata hivyo nadhani jamaa alikuwa anatania.
Kiahjr said: Dah kweli yawalimwengu kwa walimwengu.... Mbna nifah hana shida kwann ufurahi yeye kuwa banned... Roho kubwa Click to expand... Siwezi kupendwa na wote mkuu,hata hivyo nadhani jamaa alikuwa anatania.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Feb 19, 2017 #88 Shemtibuko said: subiri kidogo watakuona tu askari kanzu wa humu. Click to expand... Sawa kaka ntashukuru sana
Shemtibuko said: subiri kidogo watakuona tu askari kanzu wa humu. Click to expand... Sawa kaka ntashukuru sana
Shemtibuko JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 728 Reaction score 1,014 Feb 19, 2017 #89 Nifah said: Alifanya kosa kubwa sana,bahati yake. Hata hivyo nimeshamsamehe,asamehewe. Click to expand... Apewe ban kidogo, kosa lake lina athari kubwa sana kwa sisi tunaotembeleana pm.
Nifah said: Alifanya kosa kubwa sana,bahati yake. Hata hivyo nimeshamsamehe,asamehewe. Click to expand... Apewe ban kidogo, kosa lake lina athari kubwa sana kwa sisi tunaotembeleana pm.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 19, 2017 #90 shedede said: Lakini ban niliyopigwa mimi ni ya kipekee bado naruhusiwa kuchangia Click to expand... umenikumbusha story flani hivi kwenye vile vitabu vya story za manenge na mandawa kuna jamaa wenzie waliuawa akabaki yeye,wauwaji walipokuwa wanaondoka akaropoka "bora mimi sijasema" akauawa palepale
shedede said: Lakini ban niliyopigwa mimi ni ya kipekee bado naruhusiwa kuchangia Click to expand... umenikumbusha story flani hivi kwenye vile vitabu vya story za manenge na mandawa kuna jamaa wenzie waliuawa akabaki yeye,wauwaji walipokuwa wanaondoka akaropoka "bora mimi sijasema" akauawa palepale
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 19, 2017 #91 wambura marwa said: Mzoea udalali duka haliwezi Mdomo jumba la maneno Wacha waseme usiku watalala Mpe wako muhibu, mapenzi ayahutubu. Click to expand... Mkuu wewe ni mtunzi wa mashairi ya taarab nini? Umetisha sana.
wambura marwa said: Mzoea udalali duka haliwezi Mdomo jumba la maneno Wacha waseme usiku watalala Mpe wako muhibu, mapenzi ayahutubu. Click to expand... Mkuu wewe ni mtunzi wa mashairi ya taarab nini? Umetisha sana.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 19, 2017 #92 Shemtibuko said: Apewe ban kidogo, kosa lake lina athari kubwa sana kwa sisi tunaotembeleana pm. Click to expand... Kawapeperushia ndege
Shemtibuko said: Apewe ban kidogo, kosa lake lina athari kubwa sana kwa sisi tunaotembeleana pm. Click to expand... Kawapeperushia ndege
wambura marwa JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 2,171 Reaction score 1,129 Feb 19, 2017 #93 Nifah said: Mkuu wewe ni mtunzi wa mashairi ya taarab nini? Umetisha sana. Click to expand... Taarab tena
Nifah said: Mkuu wewe ni mtunzi wa mashairi ya taarab nini? Umetisha sana. Click to expand... Taarab tena
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 19, 2017 #94 wambura marwa said: Taarab tena Click to expand... Yako njema mkuu
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 19, 2017 #95 wambura marwa said: Taarab tena Click to expand... Yako njema mkuu
Shemtibuko JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 728 Reaction score 1,014 Feb 19, 2017 #97 Nifah said: Kawapeperushia ndege Click to expand... Wazee wa bandar tutakosa meli
Godee jr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,906 Reaction score 2,704 Feb 19, 2017 Thread starter #98 Raphael wa Ureno said: usjali Nifah nimejua watu wanatamani sana kujua wanawake wa humu tungeongea mapema tungeingiza mkwanja kama ule wa unga Click to expand... Makonda anakuona ujue
Raphael wa Ureno said: usjali Nifah nimejua watu wanatamani sana kujua wanawake wa humu tungeongea mapema tungeingiza mkwanja kama ule wa unga Click to expand... Makonda anakuona ujue
Godee jr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,906 Reaction score 2,704 Feb 19, 2017 Thread starter #99 wambura marwa said: Mzoea udalali duka haliwezi Mdomo jumba la maneno Wacha waseme usiku watalala Mpe wako muhibu, mapenzi ayahutubu. Click to expand... Mzee Yusuph kastaafu taarabu. Kamatia kijiti chake upige chapaa
wambura marwa said: Mzoea udalali duka haliwezi Mdomo jumba la maneno Wacha waseme usiku watalala Mpe wako muhibu, mapenzi ayahutubu. Click to expand... Mzee Yusuph kastaafu taarabu. Kamatia kijiti chake upige chapaa
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Feb 19, 2017 #100 Nifah said: Nilijua tu. Click to expand... Pole na karibu tena jamvini ni changamoto na figisu figisu za maisha usijali sana dada /shemeji /daima.........
Nifah said: Nilijua tu. Click to expand... Pole na karibu tena jamvini ni changamoto na figisu figisu za maisha usijali sana dada /shemeji /daima.........