Da ndugu yangu kama nistory ya kweli du; si mchezo wachawi wanafaa kupigwa mapanga sio wa kuwaacha, kama umetunga mzee- --, una-bonge ya talent. Si mchezo. Bonge la mwandishi. BIG UP.
Wapendwa
Simulizi Hii Ni Ya Kweli
Ingawa Mimi Sio Shija
Kwa Sasa Shija Na Wazazi wake hawaishi Kijijin Kwao Tena
Vlvle Maisha Yao Ni Ya Kiucha Mungu Sana
Mama Helena Alifariki Miaka Miwili Iliyopita(aliugua Gafla Na Kufariki Mda Mchache Asubuh)
Sabina Sasa Ni Mama Wa Familia Na Ana Watoto Wawili vivyo Hivyo Helena Yeye Ana Mtoto Mmoja
Ingawa Wako Mbali Sana Lakini Huwa Wanawasiliana Na kubadirishana Mawazo Ya Kimaisha!
Nikipata Mda, Nitarusha Nyingine Inayosisimua Zaidi Ya Hii(TEKNOLOJIA YA UCHAWI UNAOTISHA)
Ahsanten
Yego Majigo, oukabya go! Omana unuu!!!... Salut sana mkuu, umenifanya nisioge toka hadithi hii ilipoanza.. Wacha nipate Maji na nijisogeze tena close na shemeji yako 🙂 echikulinda Echikaka.
Wapendwa
Simulizi Hii Ni Ya Kweli
Ingawa Mimi Sio Shija
Kwa Sasa Shija Na Wazazi wake hawaishi Kijijin Kwao Tena
Vlvle Maisha Yao Ni Ya Kiucha Mungu Sana
Mama Helena Alifariki Miaka Miwili Iliyopita(aliugua Gafla Na Kufariki Mda Mchache Asubuh)
Sabina Sasa Ni Mama Wa Familia Na Ana Watoto Wawili vivyo Hivyo Helena Yeye Ana Mtoto Mmoja
Ingawa Wako Mbali Sana Lakini Huwa Wanawasiliana Na kubadirishana Mawazo Ya Kimaisha!
Nikipata Mda, Nitarusha Nyingine Inayosisimua Zaidi Ya Hii(TEKNOLOJIA YA UCHAWI UNAOTISHA)
Ahsanten
Daaah Majiko kweli kiboko. Yani nili installed JF lkn sikujiregister kwa bahati tu nikafungua nakuianza kusoma katikati na sikurudi nyuma mpk leo nimemaliza sijui siri ya Mzee Manoni. Majiko umenifanya ni jiunge ili niweze kusoma vizur mana nilikuwa napata tabu sana nilipokuwa nasoma bila kujiunga mana page zilifunguka kwashida sana, leo nikajiunga kusoma ili niimalize. Hongera
sana. OMBI HOPE SHIJA ALIWEZA KUWASILIANA NA HELENA IVYO UNGETUANDIKIA UPANDE WA PILI WASHILINGI KWA UREFU TUWEZE KUPATA RAHA ZAID.