Wasikujaze ujinga hapa mkuu ukaingiwa na expectations kubwa, siku ya siku ukikutana na demu unampa BB yake na yeye anatoa mbeleko yake kwenye handbag anachuchumaa anakuambia upande mgongoni....huko kubebwa kuchukulie hivohivo kama kulivyo for now!
Consignment ya kwanza kabisa iliyoingia nchini kwetu mwanzoni mwa mwezi huu bado iko sokoni sasa hivi, BB is the lattest version of handset ever; hapa kwetu. Yaani sawa tu kama nyie mlioko huko majuu mnavyo-enjoy na windows 8 au iPhone5
we nenda ukabebwe juu juu ukianguka usije kunisumbua na mibarafu mie!
labda Preta,na ye sijui na hivi hujatununulia gauni la Kim!
kwa taarifa yako tumepata mtu wa kutununulia we nenda kanunue tu hiyo BB
ONE YEAR;
Lazima utakuwa una akili sana. Umezaliwa majuu huko mamtoni wengine huwa tunapasikia tu, halafu unajua kiswahili namna hii? Umejifunzia wapi na lini?
Actually mimi kama ningekuwa nimezaliwa majuu, nisingekubali kuwa mtumwa wa kiswahili namna hii, ingekuwa "bong'wa Queen" moja kwa moja. Wewe mwenzangu ka-utumwa kidogo ka kutokupenda lugha yako ya kuzaliwa kanakutafuna,..., hadi inafikia unaparamia lugha zetu sisi walalahoi wa BB kama sisi!