Soma zaidi: Kigamboni bridge to be ready in 36 months![]()
An architectural impression of the Kigamboni bridge
Zomba hata hili daraja,mabasi ya kwenda kasi na hata fly over mtu atakayewezesha ni Dr. P.magufuli ndio maana alirudishwa hapo ili mambo yatekelezeke na lipatikane la kuongea ...angewekwa msimamizi msanii msanii wanaopenda kuuza sura kwenye media tungeingia chaka na zingebaki kuwa ndoto. Hongera kwa magufuli hapa japo wapenda vyeo na popularity ambao utendaji ni zero na media njaa wanampiga fitina sn huyu jamaa asikubalike kwenye jamii=hope msg delivered na uhakika unalijua hili Bro.
kuongezeka kwa udahili katika vyuo vikuu ambapo udahili wa wanafunzi umeongezeka kutoka wanafunzi 40,993 mwaka 2005 na kufikia wanafunzi 111,078 mwaka 2010.
2012 Wangapi?
Rais ombaomba, dhaifu mlea ufisadi
rais aliyekwenda kupiga picha na 50cent na boyz2men! mwenye zile picha aniwekee niusuuze moyo wangu! pathetic!
Malaysian Prime Minister Najib Abdul Razak hands over a symbolic ball to President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete signaling that Tanzania has been honoured to become a host to the next Langkawi International Dialogue(LID) in 2013. The colourful handover ceremony was held at Putrajaya Convention Centre in Malaysia this morning. The Langkawi International Dialogue (LID is part of Smart Partnership dialogue series which promotes principles and practice that leads to creative cooperation between government and other sectors with the aim to achieve economic growth and prosperity (Photos by Freddy Maro)- Rais aliyeanguka jukwaani mara nyingi kuliko marais wote duniani.
- Rais aliyevamiwa na watu akiwa jukwaani mara nyingi kuliko marais wote duniani.
- Rais aliyekaribisha wanamuziki wa kizazi kipya ikulu mara nyingi kuliko marais wote duniani.
- Rais ambaye chini ya uongozi wake ikulu imekuwa mahali rais kuingia ikilinganishwa na marais wengine wote duniani.
- Rais aliyeweka rekodi ya kutembelea maeneo ya starehe akiwa kwenye "state visit" nje ya nchi kama vile kutembelea clubs za mpira wa kikapu Marekani, Real Madrid Hispania, kubembea Jamaika, n.k.
- Rais anayeoongoza kwa KUOMBA kupiga picha na wanamichezo na wasanii maarufu duniani.
- Rais ambaye chini ya uongozi wake chuki za kidini zimeibuka na kutawala akili za wananchi.
- Rais ambaye chini ya uongozi wake maandamano ya wananchi kupitia makundi mbalimbali ya kijamii imekuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida.
- Rais ambaye kwa mara ya kwanza TUCTA ilikataa kumualika kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za mei mosi.
- Rais ambaye amefanya ziara hapa nchini za mikoani, wilayani na vijijini mara chache kuliko marais wote waliomtangulia.
- Rais ambaye chini ya uongozi wake wimbo wa taifa ulishindikana kuimbwa katika matukio mawili tofauti na muhimu ya kitaifa kwenye uwanja wa taifa Dar es Salaam.
- Rais amb........ (ngoja ninywe maji kwanza nitarudi niendelee na orodha ndefu)
Ulitaka atumie fedha za nani? hivi ulikwenda NSSF kudai mafao yako ukaambiwa hakuna....
haya! ngoja akifa... atasifiwa huyo..!!!