30P
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,456
- 7,938
Pata lengo lao na uwezo wa kumghalamia dogo then fanya maamuzi vinginevyo anaweza kwenda ustawi wa jamii kulalamika na akasaidiwa.Kwao kuna trend ya single mother, sababu kuu sijaifahamu.
Pata lengo lao na uwezo wa kumghalamia dogo then fanya maamuzi vinginevyo anaweza kwenda ustawi wa jamii kulalamika na akasaidiwa.Kwao kuna trend ya single mother, sababu kuu sijaifahamu.
Ipi hyo??Kuna mijitu inaboa sana
Huwez kutatua tatizo kwa kujindanganya kuwa halipo. Fanya maamuz. Ukwel unauma kwa muda ila utaitibu nafsi kwa kuifanya kuwa huru milele kuliko kutokuwa na amani ya milele ukihofia maumiv ya muda mfupiDNA Mkuu huwa nakosa nguvu ya kuifanya, maana nilishajitosa mzigoni.
mijitu mingine sijui ikoje shida yake ilikuwa ni maji au pair of shoesIpi hyo??
Uwezo wao Wa kugharamia Dogo ni mdogo sana maana hakuna walichoweza kugharamia mpaka sasa ndio sababu kuu ya kumleta huku pia.Pata lengo lao na uwezo wa kumghalamia dogo then fanya maamuzi vinginevyo anaweza kwenda ustawi wa jamii kulalamika na akasaidiwa.
Ndio ila kumbuka sheria itampa mtoto mama yake mpaka hapo miaka7 kama bado mama ana uwezo wa kumleaFuata sheria mtoto apate haki zake muhimu, weka tofauti zenu pembeni.
Hata kulea hajalea mkuu nmemchukua ana mwez mmoja!Hivi unajua kua hela hailei? Na unajua maana ya kulea kuna utofauti Kati yakutoa hela na kulea watu wengi hudhani kulea ni kutoa fedha kama wewe ulivyoonyesha Hapo juu
Super women 2[emoji122] [emoji122]Yaani mimi mwanaume akisema achukue mtoto akamlee hata sipati shida. namwachia kwani shida iko wapi.
ila angalia isije kuwa mtoto si wako.. jaribu kupima DNA
Fumbo sana mkuumijitu mingine sijui ikoje shida yake ilikuwa ni maji au pair of shoes
Na huu ndio ukweli wenyeweNyie hangaikeni, umri ukifika, mtoto mwenyewe atamtafuta mzazi aliyemmiss.
Hapo sawa mkuu, sasa katoe taarifa rasmi polisi ili hatakama likitokea lakutokea kwa dogo uwe na msingi tayari.Uwezo wao Wa kugharamia Dogo ni mdogo sana maana hakuna walichoweza kugharamia mpaka sasa ndio sababu kuu ya kumleta huku pia.
Sikumlazimisha anitaje kama baba wa mtoto.Una uhakika huyo mtoto ni wako? Jifariji.
Umenena Kanali. Yalinikuta zaidi ya hayo ila nilipo kubali nina amani sana na maisha bora naya enjoy.Huwez kutatua tatizo kwa kujindanganya kuwa halipo. Fanya maamuz. Ukwel unauma kwa muda ila utaitibu nafsi kwa kuifanya kuwa huru milele kuliko kutokuwa na amani ya milele ukihofia maumiv ya muda mfupi