Nitakachofanya hataamini.

Nitakachofanya hataamini.

Hata kulea hajalea mkuu nmemchukua ana mwez mmoja!
Hapo aliemlea ni sister yako wewe Umetoa matunzo kitu ambachoni jukumu lako,Mkuu sister Hapo ndo alalamike kalea kashika nnya,mikojo na vinginevyo ,ila haki unayo yakukaa na mtoto lakini nilivyo wahi kuskia eti sio vizuri kugombania mtoto
 
Hapo aliemlea ni sister yako wewe Umetoa matunzo kitu ambachoni jukumu lako,Mkuu sister Hapo ndo alalamike kalea kashika nnya,mikojo na vinginevyo ,ila haki unayo yakukaa na mtoto lakini nilivyo wahi kuskia eti sio vizuri kugombania mtoto
Kwa hiyo unanishauri Mkuu nilee nikimaliza nimpe?
 
Endelea kumlea mtoto wako kwa mapenzi yote. Si vibaya ukimruhusu mzazi mwenzako kumtembelea ila kumchukua a big NO brother.
 
Ndio hukumlazimisha ila this time naona unamlazimisha. Uko tiyari kupokea majibu,
 
I know how it's takes mkuu pole Tuliza jazba kwanza,, uwezekano wa mtoto kutokuwa sio wako upo Sana tuu kwanini wakatae usimpe jina( kimila uwezi toa jina Kama sie babaye) lakini pia umzoea na unampenda sana mtoto usikate tamaa kapime DNA kama bwai na iwe bwai tuu mkuu piga moyo konde
 
Utashtakiwa kwa kosa la kutorosha mtoto,kumbuka hata baba ako Hana uhakika 100% Kama wewe Ni mwanae. Mtoto Ni wa mama.
 
Mtoa kafara mtoto huyo upate hela acha ujinga wewe [emoji1] [emoji3]
 
Mtoto anakua vizur akiwa na mama,ila mtoto anakua vizuri zaidi akiwa na baba,sinamengi umenielewa naamini.
 
Na kngine mtoto hang'ang'aniwi,akisema anamchukua mwambie sawa njoo mbebe,lakij ajue kwamba hata kama anapesa kias gan cha kumlea ipo siku atakutafuta tu,kuna kipind hela haifanyi kaz kwenye hisia zinazoumiza au kuchoma,mwachie akamlee,ila asikuhusishe na lolote halaf baada ya miaka kadhaaa kama hajaja kukuomba umchukie mtoto.. Kwanza sisi wanaume tunakuaga watata sana unapokuta mwanamke anamtoto na baba yake yupo hai,inafukunyuaga meng sana
 
Yaani mimi mwanaume akisema achukue mtoto akamlee hata sipati shida. namwachia kwani shida iko wapi.
ila angalia isije kuwa mtoto si wako.. jaribu kupima DNA
Kbs yaan hata mm tena naona nimepunguziwa na mzigo wa kukaa tunakumbushana matumizi ya mtoto.
 
Back
Top Bottom