Huaongozwa na akili yako umeongozwa na ushabiki kuandika hayo uliyoandika, muda mwingine jaribu pia kushirikisha ubongo.Hivi bwana swai una ndoto za chadema kushinda urais?? Kuwa mkweli huwezi kutegemea ukoo mmoja usambae nchi nzima na kupewa nchi. Kighoma wameshasema hawachezi tena midundiko ya wapinzani wanataka uongozi si kupewa viroba orijino kurushia watu mawe
Hivi bwana swai una ndoto za chadema kushinda urais?? Kuwa mkweli huwezi kutegemea ukoo mmoja usambae nchi nzima na kupewa nchi. Kighoma wameshasema hawachezi tena midundiko ya wapinzani wanataka uongozi si kupewa viroba orijino kurushia watu mawe
kwa jinsi alivyoibadilisha nchi kimaendeleo, hilo halina ubishi. hivi sasa nchi nzima imeunganishwa kwa mtandao wa barabara za lami, shule za sekondari kila kata kwann asiseme hayo aliyoyasema???????????????????????
Hivi bwana swai una ndoto za chadema kushinda urais?? Kuwa mkweli huwezi kutegemea ukoo mmoja usambae nchi nzima na kupewa nchi. Kighoma wameshasema hawachezi tena midundiko ya wapinzani wanataka uongozi si kupewa viroba orijino kurushia watu mawe
Hapo zamani za kale mnamo mwaka 1995 niliamini kua huyu mtanzania ana uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko nchini.
Nililaani sana kitendo cha mwalimu kuliengua jina lake katika kinyang'anyiro cha kuelekea kushika hatamu.
Ni takribani miaka 18 imepita ndipo nimeanza kujua maana ya mwalimu kwa ule mwaka 1995.
Sasa nimeamini hapa duniani tuna chui waliojivika ngozi ya kondoo, pia, majuto ni mjukuu.
Kauli hii imetolewa na JK mjini Kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya CCM....
"Nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa CCM na si vinginevyo"!
KAMA RAIS WA NCHI, SALAAM HIZI MAANA YAKE NINI?!!