Nitakabidhi nchi kwa CCM: JK

Nitakabidhi nchi kwa CCM: JK

Itawezekana kuacha nchi mikononi mwa ccm kama hili Taifa nikwaajili yao!!!!Jambo la msingi2 wanajaribu kujipa moyo mana mdomo aulipiwi
 
Ccm wamelewa madaraka mpaka wamevimbiwa.Haya ndiyo matokeo ya kukiacha chama kimoja madarakani kwa muda mrefu bila kufanya mabadiliko.
 
Chadema sio slaa tu,naona ww unamhanya slaa tu wapo vichwa kibao,safari hii hata mkichakachua formula itagoma maana kura zitakuwa nyingi za wapinza na tukikamata mtu na masanduku tunamaliza mchezo wenyewe badala ya polisi.

Sisi tumesha anza mbela kutoka hiki chama chenu cha ukaskazini na mabavu tuisubiri hio 2015 muone mtakavyo aibika.CDM haiwezi kwenda kokote kwani kimeshalewa sifa!
 
Hakupaswa kutamka maneno hayo hata kama alikua anawaadress wana CCM wenzake. Neno lolote linalotoka kinyani mwa Rais wa nchi linabeba uzito wa aina yake. Awaache akina Kinana na Nape watamke hayo!
 
Hivi bwana swai una ndoto za chadema kushinda urais?? Kuwa mkweli huwezi kutegemea ukoo mmoja usambae nchi nzima na kupewa nchi. Kighoma wameshasema hawachezi tena midundiko ya wapinzani wanataka uongozi si kupewa viroba orijino kurushia watu mawe

mtu yoyote ambaye anatetea hii serikali ya ccm lazima atakuwa ni miongoni ya watu wanao faidika na dhuluma tunaofanyiwa na hii serikali,,,,,,,,lazima atakuwa fisadi au anasaidiana na mafisadi
 
Haya ni matamshi ya kichochezi. Jk yuko serious na statement yake uki-refer na zile za Mwingulu. Kwake ataona niaibu kuachia nchi wapinzani hivyo atafanyaawezavyo kufuta aibu hiyo. Hali hii ilimtokea pia 2010 baada ya kuona atakuwa Rais wa Tanzania kuogozs kipindi kimoja-tuliona intervention ya Shimbo/wanajeshi ktk siasa za Tanzania kwa mara ya kwanza.

Hii haitazuirika mwaka 2015 isipokuwa kwa neema ya Mungu tu.
 
kama aliwadanganya ataigeuza kigoma kuwa dubai, kwa nini asiwapige changa la macho kuhusu urais pia?
 
Kauli hii imetolewa na JK mjini Kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya CCM....

"Nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa CCM na si vinginevyo"!

KAMA RAIS WA NCHI, SALAAM HIZI MAANA YAKE NINI?!!
Manake inamaanisha hajali nchi ikiingia kwenye machafuko ili mradi ccm iendelee kuwa madarakani. Ajiandae pia kwenda the Hague.
 
Hakupaswa kutamka maneno hayo hata kama alikua anawaadress wana CCM wenzake. Neno lolote linalotoka kinyani mwa Rais wa nchi linabeba uzito wa aina yake. Awaache akina Kinana na Nape watamke hayo!
Huyu naye ni rais! Huyu ni mzugaji tu.
 
Back
Top Bottom