MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,942
Ni viashiria gani vya smartphone kuwa kuna watu wanatrack?
Niligoogle nikapata majibu haya
wawa1.Simu kuwa ya moto sana
2.Kuisha kwa betri,salio na bundle mara kwa mara bila mpangilio.
3.Kuwa na mwangwi au sauti zisizoelezeka "chkskorokxhjk"
4.Kama kampuni au mwajiri wako aliwahi kukuomba simu mara moja anza kurudisha kumbukumbu alitaka nini.
5.Kama huwa unaacha simu halafu unatoka ukarudi imehamishwa au kusogezwa.
Ingawa unaweza ukawa paranoid kuhisihisi ila hivi niviashiria.Add yours au wajuzi mtuambie maana JF tunabwatuka makubwa mno labda wasiojulikana wanatutrack.

shida watu mnapenda ku over think mambo aisee kha, au kama unaongelea kutrakiwa na mpenzi wako basi uza hiyo simu ununue nyingine