Nitajuaje kama mke wangu amenisaliti

Nitajuaje kama mke wangu amenisaliti

Ni Simple Sana Kumjua Mwanamke Au Mwanaume Aliyetoka Kuzini Ntakupm Mkuu Kukujuza Namna Yakutambua
 
Ni Simple Sana Kumjua Mwanamke Au Mwanaume Aliyetoka Kuzini Ntakupm Mkuu Kukujuza Namna Yakutambua

Hizi mambo za kuambiana nitaku-pm humu jf huwaga si za kweli. Mm kuna members kibao wanasemaga hivyo halafu cha pm wala mp.
 
Hahahahahahaha lol!!!! Dah!!!! kazi kweli Mkuu hii yote katika kuhakikisha papuchi yako iko salama kwi kwi kwi kwi, niliwahi kuona hapa jamvini baadhi ya wanaume huwaamrisha wake zao kuvua pichu kisha hupitisha pua zao ili kuona kama kuna harufu yoyote ambayo hawaijui lol!!! Chezeya kupenda weye!!!

Mkuu ukinusa pia basi ujue unapiga kote kote.....
Kama walipiga kavu unafanya hayo hapo juu....
Kama walitumia ndomu ukinusa unapata harufu ya ndomu live..... Japo Hata sperm linaharufu yake mkuu.
Na kama alioga huko kwa kutumia sabuni tofauti , lotion tofauti basi utagundua tu.
Ila hiyo yote kujichosha tu , kwakuwa jamaa kaomba ushauri tunampatia tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahahaha lol!!!! Dah!!!! kazi kweli Mkuu hii yote katika kuhakikisha papuchi yako iko salama kwi kwi kwi kwi, niliwahi kuona hapa jamvini baadhi ya wanaume huwaamrisha wake zao kuvua pichu kisha hupitisha pua zao ili kuona kama kuna harufu yoyote ambayo hawaijui lol!!! Chezeya kupenda weye!!!

unaweza kupata mafua ya ndege
 
Vipimo viko vingi
kwa mfano
Kama hakutumia Condom
Mtie kidole cha nyuma na mbele.
Halafu muwekee ulimi sikioni kama vile wamtekenya.....akicheka tu.....manii zilizobaki hutoka...

mkuu hiyo ngumu, huo ushauri hapana. naweza sababisha matatizo mengine
 
Ndoa za siku hizi ni full kuwindana!Mm akifika home salama ndiyo furaha yangu haya ya kumchunguza hapana
 
​angalia kwenye kisogo chake nywele zinanyonyoka kidogo

Ndugu yangu styles za hawa vijana wala magoti hawakunji ndiyo iwe kisogo!

Unaweza ukawaona pale uwanjani Makurumla hasa jioni kama wamesimama kumbe wanafanya yao!
 
Ndugu yangu styles za hawa vijana wala magoti hawakunji ndiyo iwe kisogo!

Unaweza ukawaona pale uwanjani Makurumla hasa jioni kama wamesimama kumbe wanafanya yao!

umenifanya nicheke sana asubuhi hii
 
Siku moja mpige ambushi , akirudi mvue nguo zote achuchumae halafu mvutishe ugoro ..... Alianza kupiga chafya utapata majibu au mrushe kichura chura labda waweze wanatumia condom.
Ila kingine mkuu mwachishe tu kazi kama una ubavu wa kuhudumiakila kitu.
s

Are u a doctor au witch doctor.
 
Mtu aamue tu kujichunga mwenyewe. Kichwa chamtoto kinapita hapo hapo na ndo utamu unaongezeka sembuse p.
 
Amwachishe kazi Si watadegedwa wotejamani ushauri gani huu??
 
utaacha tu, kwani hiyo kazi ndiyo itakayo kugegeda ? , mi mmeo nimesema acha kazi ili tugegedane vizuri wewe hutaki , nakurudisha kwenu ukagegedwe na binamu yako
kazikwelikweli
 
Attachments

  • IMG_3180765663768.jpeg
    IMG_3180765663768.jpeg
    37.8 KB · Views: 242
Mola mjalie kaka huyu
 
Attachments

  • IMG_5644089817146.jpeg
    IMG_5644089817146.jpeg
    24.1 KB · Views: 112
  • IMG_5570011593762.jpeg
    IMG_5570011593762.jpeg
    26.7 KB · Views: 111
  • IMG_5512958823916.jpeg
    IMG_5512958823916.jpeg
    24.1 KB · Views: 105

Similar Discussions

Back
Top Bottom