Nitajinasuaje kwenye huu msala?

Leo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua ni kweli. Sasa amerudi kwangu eti anasema nilikuwa najua kabla. Anahisi kuna namna si bure.

Mbona kazi rahisi mdogo wangu??

Mwambie kwa msingi huo huo kwamba kazi ya kufanya uchunguzi hajaimaliza...aendele tu kuchunguza na jibu atapata kabla ya mwezi kuandama inshallah!!
 
.
Dah, pole sana. Mwambie uliona jf dokta watu wakiwa kwa mp wananuna.
 
Mwambie, ''Na wewe unkaribia kuingia ktk siku zako ndio maana unakua mkali" Kama ni kweli atakuelewa.
 
Hapo si una pata mtandao? google then mwite usome umwambie hata kuna siku yeye anakasirika unagundua kuwa yuko kwenye siku zake
 
Dah, mambo ya ndoa bwana! Pole mkuu mueleweshe tu, yaongeleeni chumbani atatulia tu. Pole!
 
Dah, mambo ya ndoa bwana! Pole mkuu mueleweshe tu, yaongeleeni chumbani atatulia tu. Pole!

Kuna sababu gani ya kumwelewesha mtu ambaye amejua au kugundua baada ya kufanya uchunguzi au utafiti? Amwache tu aendelee na utafiti wake kwani ukweli hauko mbali!
 
Back
Top Bottom