Umetisha1. Chinua Achebe
2. Mahatma Ghandi
3. Robert Nesta
4. Wole Soyinka
5. Ken Saro Wiwa
6. Abraham Lincoln
7. Fidel Castro
8. Tata Madiba
9. Ernesto che Guevara.
Haha Kaboom inabidi tuweke picha ya Msoga airline alafu nikubatize jina lake maana harakati zenu zinafanana ,oh sichomoi? Kwani nimechomeka nini ??Chinua achebe
mahatma gandhi
bob marley
abraham lincoln
UncleBen
wole soyinka
Feli kuti
fidel castro
mandela
alikuwa mwandishi na mwanaharakati nchini Nigeria ila serikali dhalimu ya Hayati General San Abacha ilimhukumu kunywonga mpaka kufa na wanaharakati wengine back in 1993 if am not mistaken.Samahani ken sero wiwa nijuzeni kidogo harakati zake@ nsereko mibas
Asante sasa nitafustilia history takealikuwa mwandishi na mwanaharakati nchini Nigeria ila serikali dhalimu ya Hayati General San Abacha ilimhukumu kunywonga mpaka kufa na wanaharakati wengine back in 1993 if am not mistaken.
Hujakosea uko sahihi!alikuwa mwandishi na mwanaharakati nchini Nigeria ila serikali dhalimu ya Hayati General San Abacha ilimhukumu kunywonga mpaka kufa na wanaharakati wengine back in 1993 if am not mistaken.
Msoga ndo nani huyo..Uzee unanijia vibayaHaha Kaboom inabidi tuweke picha ya Msoga airline alafu nikubatize jina lake maana harakati zenu zinafanana ,oh sichomoi? Kwani nimechomeka nini ??
Lakini huyo kwenye picha sio Ken saro Wiwa...Ni Fela kutiHujakosea uko sahihi!
Kuongezea tu huyo Sani Abacha alokufa kwa kuji over dose Viagra ili kukomoa Machangudoa alioletewa na Maafisa wake wakati huo kafuta Matokeo ya Uchaguzi halali uliompa Ushindi Hayati Mashoud Abiola!
Teh teh Msoga airline humjui ?? Yule jamaa wadada kama masogange wanalamba ukuu wa wilaya kama kumsukuma mlevi vileMsoga ndo nani huyo..Uzee unanijia vibaya
Teh teh..Kwani yule mtalii ni mwanaharakati naye?Teh teh Msoga airline humjui ?? Yule jamaa wadada kama masogange wanalamba ukuu wa wilaya kama kumsukuma mlevi vile
Yule nimemvulia kofia aisee kila nakopita nikikutana na totoz laini kama nyama ya ulimi unaambiwa ya Mzee na alivyo na matusi sasa kuna wengine anawajengea lami mpaka kwenye mageti yao ,ingekua tunarudi kwenye njia tuliyotokea huyu jamaa tungekua tushamsahau siku nyingiTeh teh..Kwani yule mtalii ni mwanaharakati naye?
Teh teh..Uncle huna heshima..Yani ulikuwa unataka kupita njia aliyopita vasco da gama?...Yule nimemvulia kofia aisee kila nakopita nikikutana na totoz laini kama nyama ya ulimi unaambiwa ya Mzee na alivyo na matusi sasa kuna wengine anawajengea lami mpaka kwenye mageti yao ,ingekua tunarudi kwenye njia tuliyotokea huyu jamaa tungekua tushamsahau siku nyingi
Haha Kaboom nikupita tu kwa macho sio kivingine ,naanzia wapi ndugu yangu ni vile tu ubishi wa hapa mjini basi unakutana nao kwenye viunga flani hivi vya jijiTeh teh..Uncle huna heshima..Yani ulikuwa unataka kupita njia aliyopita vasco da gama?...
Lakini huyo kwenye picha sio Ken saro Wiwa...Ni Fela kuti
Yeah...Yule ni Fela Kuti![]()
fela anikulapo kuti.
![]()
keni saro wiwa.