Nitajieni basi zuri la Dar-Mbeya

Nitajieni basi zuri la Dar-Mbeya

Panda JM LUXURY ni mabasi yenye huduma nzuri na mwendo wao unazingatia Uhalisia.
 
Rungwe express is the best! Huduma nzuri, lugha nzuri, mwendo mzuri na uhakika wa kufika na mkubwa. Usisahau gloves, sweta/koti zito, mafuta ya mgando na kofia.
ahsante kwa kunipa angalizo!!
 
Ilasi Express...T801 DBF...Marcopolo Andare Class..Scania 95-310. Ukiikosa hii chukua New Force/ Golden Deer.
 
DarLux, Rungwe, JM na Colour Star ni mabasi mazuri sana. Yote nauli ni 40,000/=
 
Back
Top Bottom