Nitajieni basi zuri la Dar-Mbeya

Nitajieni basi zuri la Dar-Mbeya

Keshokutwa nategemea kwenda Mbeya kikazi na nitakuwepo pale kwa siku 5. Sijawahi kufika kabisa nyada za juu kusini, naombeni mnitajie basi zuri na linalokimbia sana ili niwahi kufika jijini Mbeya mapema. Karibuni mtiririke wadau...
Happy Nation a.k.a (HAI) sauti ya manka.Hutojutia
 
HAPPY NATION tochi zote wanajua zilipo SAA 12jioni upo mbeya
 
Back
Top Bottom