KunaKeshokutwa nategemea kwenda Mbeya kikazi na nitakuwepo pale kwa siku 5. Sijawahi kufika kabisa nyada za juu kusini, naombeni mnitajie basi zuri na linalokimbia sana ili niwahi kufika jijini Mbeya mapema. Karibuni mtiririke wadau...
Mkuu superfeo ni dar - songeaKuna
network
Nganga
Superfeo
Shabibi
Abood
Rungwe
Kwa speed ni superfeo na nganga
Kisesa ina kwenda mbeya?Panda Kisesa
Ipo ya mbeya dar ipo dar songea ipo dar tunduma ipo mbeya arushaMkuu superfeo ni dar - songea
Ndenjela is the best, bado lipoHv Ndenjela bado lipo? Lilikuwa powa sana miaka ile niliposafiri nalo kwenda huko.
Ndenjela imechoka siku hizi wewe. Nimepanda tarehe 23 Mei Dar to Mbeya hata huduma za soda hakuna,wale wadada wahudumu hawapo. Siti ngumuu zinaumiza matako. Pia hakuna USB za kuchajia simu. Kibaya zaidi tulifika Mbeya saa 5 usiku.Ndenjela is the best, bado lipo