kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
marafiki zangu bachelor na ma senior bachelor kama tusemavyo, tuna waangalia wapenzi wetu kwa ajili ya kuwa mke, tukiulizana maswali ya sisi kwa sisi vipi kuhusu mpenzi wako uliye date naye kwa miaka miwili na ushee. Majibu siku zote yana kuwa hivi, hana sifa za kuwa mke. Binafsi huwa siamini hili jibu
swali langu ni hili, naomba mnitajie sifa 5 ambazo zitakufanya wewe kijana umfanye mpenzi wako ambaye umedate naye akashinda viwango na kuwa mke, amewagalagaza wasichana wengine.
binafsi nimekuwa na mahusiano na wapenzi kadhaa, inapofika ananitamkia nimuoe, roho inaniruka kweli, i justcould not imagine growing old with them.
wana mmu, naomba sababu 5 ambazo msichana should possess to qualify to be wife?
nafahamu wote tunamitazamo tofauti, naamini kutakuwa na general qualities.
Mwana mmu, naomba mawazo yako.