T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,925
- 30,063
,,,,,,,,,,Eti naambiwa mama amefariki kwa presha,,,,,,,,,
Hadithi nzuri, onana na Shigongo.
Teh teh teh ukapanda ngazi eeh
Nipe ruhsa nifanye muendelezo wa hii hadithi, na jinsi maisha yalivyo kubadilikia baada ya mama kufariki, pia baba alivyo kuchukulia baada ya kuona umetoa siri ilopelekea kumpoteza mkewe, bila kusahau maisha yalivyokua magumu chuoni hadi una maliza na kupata mafanikio makubwa kimaisha na leo kutupa simulizi ya mfano
Hii hadithi inatufundisha nini??
Hivi gongo la mboto kuna nyumba ya ghorofa? Manake mie mgeni daslama.
Halafu unazimia chuoni na after two hrs unazindukia nyumbani? Lazma una bodyguards na kahelicopter
Acha dharau wewe,unataka kusema goms wanaishi masikini pekeyao? Mm binafsi niliwaifika gongo la mboto mbona matajiri wakumwaga.
Teh teh teh ukapanda ngazi eeh