Nitaitambuaje betri original ya simu?

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,149
Wakuu hapa nina kisimu changu cha Galaxy ace 2-GT-I8160, Shida ipo kwenye betri na nimejaribu kununua karibia mara mbili na nimeambulia patupu!

Yaani kila nikinunua betri inakuwa mbovu na ile iliyokuja na simu inakuwa bora zaidi japo imechoka!!

Last time nimeangalia specifications zilikuwa zinafanana lakini mambo yakawa yale yale.

Betri haimalizi hata 3 hours na niliinunua 20,000 !

Naomba msaada ndugu zangu, nitapataje betri nzuri?
 
Nenda maduka ya wahindi mnazi mmoja au posta waarabu au wapemba utapewa feki tuu au go direct maduka ya samsung tuu
 
bettery za tecno zenye Ubora ni Hizi zina serial number ambayo utapo iingiza katika mtandao www.gc.tecno-mobile.com uta ambiwa bettery hizo ni original au sio. mi ni muuzaji wa bidhaa za simu na nina uzoefu nazo. hata nikitizama kilicho feki ntakijua kutokana na muonekano tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…